MTV Music Awards June 6th, 2014

MTV Music Awards June 6th, 2014

Diamond mwenyewe anajua davido n bora kulko yeye

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Isingewezekana kushinda diamond platnumz wakat mshindani wake Davido ndiye aliyemtoa
 
watu wanajua pamba awa mpaka wanakera

BpjZ594IEAEU1SM.jpg

Bwana Matumbo nilidhani ni mimi tu ninaewakubali wanavyovaa kumbe na ww umewaona, achana na mafikizolo wanapendeza sana!
 
I crossed my fingers for you diamond!. But, keep it up!!. Its a good start indeed!..
 
Diamond hata kama amekosa tuzo lakini kitendo cha kuwa nominee tu ni credit kwake so keep it up Diamond
 
tusubiri kuona perfomance ya Dai.....Ila wabongo mmetisha kwa jinsi mlivyomsapot bwamdogo,tukiendelea na roho za hivi tutafika mbali.
 
kile kijiji alichoenda nacho sijiu wanarudije wataangaliana usoni kweli
 
kile kijiji alichoenda nacho sijiu wanarudije wataangaliana usoni kweli

Mbona ushaanza kumgeuka? Komaa hadi mwisho tuliwaonya tangia mwanzo domo hawezipita kwa wanaijeria au wa south.
 
tusubiri kuona perfomance ya Dai.....Ila wabongo mmetisha kwa jinsi mlivyomsapot bwamdogo,tukiendelea na roho za hivi tutafika mbali.

Kwahiyo zote mbili kaangukia pua? Ila south kuna visu(watoto) wakareeee!
 
Back
Top Bottom