MTV Music Awards June 6th, 2014

MTV Music Awards June 6th, 2014

Bwana Matumbo nilidhani ni mimi tu ninaewakubali wanavyovaa kumbe na ww umewaona, achana na mafikizolo wanapendeza sana!

Hiyo suti ya mshkaji hata mimi niliimezea mate sana aiseee
 
davido best male award. diamond chali

dah! mkuu nimeona kwenye twitwer kiukweli sikutarajia hata kidogo kama diamond anaweza kung'ara mtv DAVIDO na MAFIKIZOLO wana run africa kwa sasa hata tuzo za bet diamond aende na wema kupicha picha na kuweka kule kwenye mtandao wa picha IG!!!!!!!
 
Mbona ushaanza kumgeuka? Komaa hadi mwisho tuliwaonya tangia mwanzo domo hawezipita kwa wanaijeria au wa south.

wabongo ushamba na shobo ndio zinazowasumbua.....ila ao wanaijeria mnaowapaisha hawana lolote jipya kututisha wana mzk wa kawaida sana,,sikilizeni muziki vizuri
 
Diamond hata kama amekosa tuzo lakini kitendo cha kuwa nominee tu ni credit kwake so keep it up Diamond

acheni unafiki tumechoka na hizo kauli tunataka mkienda na kijiji cha watu mrudi na tuzo sio perfume za sa!!!
 
wabongo ushamba na shobo ndio zinazowasumbua.....ila ao wanaijeria mnaowapaisha hawana lolote jipya kututisha wana mzk wa kawaida sana,,sikilizeni muziki vizuri

Hahaha weee jamaa vipi nyie na wao nani anaiga mziki wa mwingine kama sio nyie wabongo ndio mnaoiga mziki wao mkiulizwa mnasema Et mziki wa biashara wabongo bongolala!
 
wabongo ushamba na shobo ndio zinazowasumbua.....ila ao wanaijeria mnaowapaisha hawana lolote jipya kututisha wana mzk wa kawaida sana,,sikilizeni muziki vizuri

DAVIDO is hot bro na anafanya mziki mzuri na hizo tuzo watu ndio wanaopiga kura so he derseve it!
 
D bado sana kapata jina bongo tu kwa sababu ya ukahaba tu na wema ila ally kiba ni zaidi yake subirini maisha yanaendelea kwenye mziki 2015 nitamulizia domo kwa taaluma yangu ya muziki akiwa kwenye gemu kama ilivyo sasa hivi ninabadili uraia nachukuwa wa somalia sure ndugu.
 
Kumbe Clouds walikua wana tuingiza chaka! Yale ma hope na zile hesabu za Likes za Insta, uso wa kitabu yameishia wapi?! Ila kazi nzuri kijana wangu Daimondi, next year lazima urudi na mzigo. We wekeza kwenye kolabo na hao hao wa nijelia!! Ikibidi piga na marafiki wa zolo kabisa hukohuko sauzi.
 
DAVIDO is hot bro na anafanya mziki mzuri na hizo tuzo watu ndio wanaopiga kura so he derseve it!

Wanaija muziki wao wa kawaida sana trust me bro,promotion ndio kila kitu jamaa wanapromoti sana mzk wao alfu kwenye tuzo za kupigiana kura kama hizi huwezi kuwaangusha coz population yao pia ni kubwa...
 
zote amekosa man...huu ndio muda wa wanafiki kutamba,maana walikuwa kimyaaa kuskilizia waanze kazi yao



Pole mkuu najua utakua umesawijika sana but ndo maisha....

Tukijipanga next time itakua poa tu
 
halafu wanajua kusapotiana acha kabisa,sasa sisi milion 40,hapo hujatoa wasio na accsess ya internet

Ndomo ashindane na kina richi mavoko na mvaa vipedo na skuna ndio size yao lkn kitu davido super mogul le gra in naija hahahahaaaa
 
Back
Top Bottom