MTV Music Awards June 6th, 2014

MTV Music Awards June 6th, 2014

Wanaija muziki wao wa kawaida sana trust me bro,promotion ndio kila kitu jamaa wanapromoti sana mzk wao alfu kwenye tuzo za kupigiana kura kama hizi huwezi kuwaangusha coz population yao pia ni kubwa...

kama population ni ishu subiri mwakani tutashinda maana naona boko haram hawana mpinzani wanawapunguza wanaija sana
 
Hapo ndio point ilipo.....awa jamaa wanawapa sapot sana wanamuziki wao ila sio kwamba wanamuziki wa ajabu yani ilo sikubali kabisa....

matumbo tuna safari ndefu sana kaka nakuakikishia tuzo yoyote akiwekwa diamond na mafikizolo katika category moja basi ujue diamond hana chake tusubilie BET!!!
 
katika hizo kategori wote walikua mamba kasoro kenge alikua diamond peke yake
 
show bado haijaanza ila ni maandalizi ya mwisho mwisho ,diamond kufungua dimba on stage....

hivi huwezi edit ulichoandika? maana naona kama kimepitwa show inakaribia kwisha
 
Bendera ya tz kimataifa itapeperushwa na injili kutoka tz
Tz itatambulika kwa injili na wala sio muziki au mpira
 
Daah katika watu wanaoumizwa na kimya cha Ally Kiba ni mimi yaani nashindwa kumjadili maeneo kama haya. Ally eeeh acha mambo yako hebu toa track moja kali sana utupe wadau wako cha kuongea
 
diamond na wema kwenye red kapet
C
lose
Bpi3SOIIEAEKyxt.jpg:large







Mbona kama mwenye dimpoz au kiduku kimempoteza
 
Nilijua kwenye hii ya Colabo, Davido atambeba mwanangu Daimondi,,,. Hata aliko tokea huyu Mzee wa kuchukucha?!!!! Ila jukwaa kweli wamelichukucha kisawasawa
 
kama population ni ishu subiri mwakani tutashinda maana naona boko haram hawana mpinzani wanawapunguza wanaija sana

population ya nigeria ni kubwa kiukweli but ni watu wanaopenda cha kwao na si vitu fake kama tz WE HAVE A LONG WAY TO GO!
 
Maana HOD kasema ndomo alikua balaa mpaka akina mafikizolo wamejisikia fahari kukutana nae eti wamedata kwake yaani nimecheka na kushangaa

Ilikuwa kawaida sana,ila waliingia vizur sana,maana alikuwa anaruka ruka na kumung'unya maneno tu
 
wabongo ushamba na shobo ndio zinazowasumbua.....ila ao wanaijeria mnaowapaisha hawana lolote jipya kututisha wana mzk wa kawaida sana,,sikilizeni muziki vizuri


Mkuu Diamond anaimba Nigerian Fleva sio Bongo Fleva thats why jamaa watazidi kupaa !
 
davido kachukua tena davido 2 shemeji o
 
Ilikuwa kawaida sana,ila waliingia vizur sana,maana alikuwa anaruka ruka na kumung'unya maneno tu

Aliimba wimbo gani?

Ha ha binamu magazeti ya shigongo na clouds media zinaharibu watu maana wanampamba mtu kana kwamba anajiona bonge la star matokeo yake ndo hayo ukitoka nje unaonekana kanyaboya tu
 
daah naona unaenda sawa na upepo. mwanzo ulikuwa upande wa ndomo ila now sikusomi

this is reality huwezi kukimbia ukweli hapa tunaongea ukweli tu kama unaweza tutakupongeza ukiboronga tutakuambia bila kuficha ficha diamond he was kid there under mafikizolo,davido unaweza kumuona dimond kwa jicho gani.. Nilishaweka msimamo wangu mapema but maisha yanaenda sambamba na maajabu hutakiwi kusema never hujui nn kipo mbele. Tz bado mpaka tukubali kwenda sawa ukweli watu hawatuelewi lugha tatizo...
 
Back
Top Bottom