dreamchaser18
Member
- May 21, 2014
- 88
- 36
all in all diamond kapiga bonge la show pamoja na davido yule trey song hakuna kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaija muziki wao wa kawaida sana trust me bro,promotion ndio kila kitu jamaa wanapromoti sana mzk wao alfu kwenye tuzo za kupigiana kura kama hizi huwezi kuwaangusha coz population yao pia ni kubwa...
Hapo ndio point ilipo.....awa jamaa wanawapa sapot sana wanamuziki wao ila sio kwamba wanamuziki wa ajabu yani ilo sikubali kabisa....
show bado haijaanza ila ni maandalizi ya mwisho mwisho ,diamond kufungua dimba on stage....
diamond na wema kwenye red kapet
C
lose![]()
kama population ni ishu subiri mwakani tutashinda maana naona boko haram hawana mpinzani wanawapunguza wanaija sana
Maana HOD kasema ndomo alikua balaa mpaka akina mafikizolo wamejisikia fahari kukutana nae eti wamedata kwake yaani nimecheka na kushangaa
wabongo ushamba na shobo ndio zinazowasumbua.....ila ao wanaijeria mnaowapaisha hawana lolote jipya kututisha wana mzk wa kawaida sana,,sikilizeni muziki vizuri
katika hizo kategori wote walikua mamba kasoro kenge alikua diamond peke yake
Ilikuwa kawaida sana,ila waliingia vizur sana,maana alikuwa anaruka ruka na kumung'unya maneno tu
davido kachukua tena davido 2 shemeji o
Bendera ya tz kimataifa itapeperushwa na injili kutoka tz
Tz itatambulika kwa injili na wala sio muziki au mpira
daah naona unaenda sawa na upepo. mwanzo ulikuwa upande wa ndomo ila now sikusomi