watu wanajua pamba awa mpaka wanakera
halafu wanajua kusapotiana acha kabisa,sasa sisi milion 40,hapo hujatoa wasio na accsess ya internetHayaaaaaa chezeeeeiiiyaaaaa wanaijeria wewe wapo 180m.
Mkuu King Kong III ujue hili neno la wabeba box limeshaenea sana na si kweli kwamba diaspora wote wanabeba box jamani plz plz plz.
show bado haijaanza ila ni maandalizi ya mwisho mwisho ,diamond kufungua dimba on stage....
anakuja,tulia broAmefungua dimba na wema hotelini? Mbona stage hatujamuona?
kile kijiji alichoenda nacho sijiu wanarudije wataangaliana usoni kweli
Kumshinda Davido itakuwa ngumu.Tusubiri BET
tusubiri kuona perfomance ya Dai.....Ila wabongo mmetisha kwa jinsi mlivyomsapot bwamdogo,tukiendelea na roho za hivi tutafika mbali.