MTV Music Awards June 6th, 2014

Naija ni soko kubwa kuliko nchi yeyote Afrika...wa SA wamebobea 9ja sana kwa sasa katika kila sector...

Anyway tutatoka tu Mungu yupo...


 
Naija ni soko kubwa kuliko nchi yeyote Afrika...wa SA wamebobea 9ja sana kwa sasa katika kila sector...

Anyway tutatoka tu Mungu yupo...

ila kwa bet nahis tutafanikiwa maana kwenye fb watu wamejitahid kukoment jina la diamond sana kwenye picha za bet page.. pia nadhan tanzani wa2miaji wa net ni wachache ukilinganisha na sauz na naija...
 
huyo alikiba mwenyewe nia yake ni kupata tuzo za mtv so njia ni ile ile tu... AY nae ndo kakoma ubish maana hajawai kuibusu tuzo ya mtv tangu alione soko la kimataifa...Mbona kazi ipo mwe!!
ile project ya one 8 aliyokula shavu alikiba, kama diamondo angekua amevuma wakati ule bas angeimba yeye instead of ali, maana r kelly alihitaji wasanii waliovuma sana kwa time ile ndomana hata fally ipupa alipewa shavu mliliona hilo?...
 
Hongera na pole kwa Tanzania,

Jamani Diamond Platinumz stil ni muimbaji mkubwa sana Africa zaidi ya hao wakina Davido, Kuna watu wanasema eti Diamond anacope na kupaste nyimbo za wanaijeriaa kitu ambacho ni upotoshaji mkubwa tena wa mchana,

Hivi hamjui ili swala kwenye mziki hasa wa kiafrika ni kawaida ndio maana hii style wanaotumia wanamziki wa kiafrika inaitwa AFRO POP MUSIC ambayo ni mchanganyiko wa ladha na vionjo vya mziki wa nchi mbalimbali za kiafrika, mfano angalia P Square siku hizi wanaimba na kuchanganya na vionjo vya Congo na Angola mfano sikiliza wimbo wa TASTE MONEY,

But muhimu tujue tu mziki wetu umekosa promo basi ila ni mzuri sana ila shukrani kwa Diamond katufungulia njia later watatuelewa tu.
 
mkuu diamond hamna chochote huwezi kumweka diamond category moja na davido na mafikizolo huo ni uchawi mkubwa!

Kumbuka mafikizolo wanamkubali huyo unaemsema hamna kitu ,na wameomba wameomba wafanye nae collabo ikibidi kulipia gharama za kuendelea kukaa south mpka collabo ifanyike coz wanaamin uwezo na kick yake saiv Afrika ..tupende vyetu @ Yusuph Issa
 
Na nyie muache maneno ya shombo za kijinga
 

unajikutaga unachukia ishu za dai coz kila post ninayoileta hapa inahusu hatu ama mafanikio flan aliyofikia ,vitu ambavyo hampendi kuviskia ..hakuna reason nyingine
 
Daimond usikate tamaa hatua uliyofikia ni kubwa , watu wana wivu na wanafi.ki . Ungeshinda wangetoa pongezi sasa wanaanza maneno ya ajabu. We endelea kujitangaza kimataifa utafanikiwa usikate tamaa.
 
Kuwa Nomineted tuu ni hatua kubwa sana naweza kusema wote waliokuwa nomineted ni washindi sema kwa sababu anayetakiwa kutangazwa kwa mjibu wa mashindano ni mmoja
 
Wabongo wivu tu, jamaa kuwa nominated tu kesha jitangaza na ni one step ahead
 

acha uongo wewe mtv mbona wanacover mziki wa africa nzima kiukweli wanageria wanakaza sana na huwezi kumfananisha daimond na mafikizolo mkuu diamond wa juzi katika tasnia ya muziki lakini mafikizolo wameanza harakati za muziki kitambo na tayari wamejenga reputation katika cicle ya muziki usitoke povu mkuu!!!
 
Yaan kumshindanisha diamond na davido ni sawa na kushindanisha shule ya kata na Marian girls

waambie mkuu kuna wapo humu wanaendeshwa na radio ya ruge kila wanachokisia wanakiamini USIFIKIRIE MAZIWA NYINGINE ZANZI!!!!!!
 
Kumbuka mafikizolo wanamkubali huyo unaemsema hamna kitu ,na wameomba wameomba wafanye nae collabo ikibidi kulipia gharama za kuendelea kukaa south mpka collabo ifanyike coz wanaamin uwezo na kick yake saiv Afrika ..tupende vyetu @ Yusuph Issa

mkuu hod nimekusoma kaka na nautambua na kuuheshimu mchango wako kwa daimond but tubadilike kidogo kaka mziki wetu tuna copy ladha za niger na ndio kitu kimoja kinatuangusha mkuu kiukweli huwezi kumshinda davido na still unaiga radha za mziki wao TUBADILIKE!!!
 
»Tukubali kutofautiana kimtazamo kwangu mie tangia hawali nilijua diamond hawezi shinda hata iweje na nilijua hawezi chomoka kwa davido(rejea posts nilizotoa kitambo)
»Kuna mtu amesema sijui knaan and bla bla atambue kwamba ethiopia population yao inaenda mtu >100m mbali ya population pia kuna promo cha msingi hao kina matumbo (fela,tale,suka osata) wamtangaze kimataifa wasiishie kufanya fitina bongo kama lugha hawaelewi wamuajiri immam abbas awe anawafanyia promo outside tanzania
»Domo usilewe propaganda za clouds na shigongo wao wapo kibiashara zaidi wanakupamba wewe ili mradi wateke soko la tz tu kwa7bu wanajua wa-tz hatu reason tunachukua kama kilivyo ndio maana ulivyofanya show hakuna msouth aliyeshangilia wala ku wave mikono zaidi ya kijiji ulichokuja nacho.
 
Last edited by a moderator:
unajikutaga unachukia ishu za dai coz kila post ninayoileta hapa inahusu hatu ama mafanikio flan aliyofikia ,vitu ambavyo hampendi kuviskia ..hakuna reason nyingine

Huna weledi wa kuwa msemaji wa domo, size yako ni wapiga vijembe kama team wema na kajala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…