nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
Naija ni soko kubwa kuliko nchi yeyote Afrika...wa SA wamebobea 9ja sana kwa sasa katika kila sector...
Anyway tutatoka tu Mungu yupo...
Anyway tutatoka tu Mungu yupo...
mnafatilia vipindi vya mtv lakini? vinatoa sapot sana kwa naija na south a.
kuna top ten special kwa ajil ya naija.. special interviews kwa ajili ya naija.. hata kwenye spankin new kidogo kulikua na utata ila now ndo wana2pia macho kotekote.. hapa matumain yapo bet.