Na nyie muache maneno ya shombo za kijinga
Mkuu nilikuwa najaribu kuonyesha namna wabongo tusivyotakiana heri....uyo davido kapotezwa vibaya stejini na diamond na naweza sema show ya diamond ndio best hadi sasa hapa south....
Kumbuka mafikizolo wanamkubali huyo unaemsema hamna kitu ,na wameomba wameomba wafanye nae collabo ikibidi kulipia gharama za kuendelea kukaa south mpka collabo ifanyike coz wanaamin uwezo na kick yake saiv Afrika ..tupende vyetu @ Yusuph Issa
Diamond amejitahidi kiasi chake na anastahili pongezi lakini siafiki kwamba wingi wa wanigeria ni kigezo cha kuwapa ushindi! Unamfahamu Keinan Abdi Warsame ( K'naan) wa Ethiopia? Amekuwa akishinda tuzo despite kupambanishwa na wasanii toka nchi zenye population kubwa kuliko yake!! Kipaji na muziki mzuri kama vipo vitaonekana tu akaze buti..
mi bado nashikilia uzi wangu ule ule wenzetu hawatuelewi lugha tatizo we must change wenzetu wanaongea lugha moja sisi tunaongea lugha yetu
kile kijiji alichoenda nacho sijiu wanarudije wataangaliana usoni kweli
mkuu hod nimekusoma kaka na nautambua na kuuheshimu mchango wako kwa daimond but tubadilike kidogo kaka mziki wetu tuna copy ladha za niger na ndio kitu kimoja kinatuangusha mkuu kiukweli huwezi kumshinda davido na still unaiga radha za mziki wao TUBADILIKE!!!
-------- mkubwa wewe hapa hatumwongelei diamond bali tunaongelea Tanzania.nikimaanisha kushindwa kwake ni kushindwa kwetu.na jua sikuzote kushindwa ndio njia ya ushindi.
Ivi huyo Dimond mnaesikitika kakosa anaimba nini cha ajabu... ukiangalia Mafikizoro utagundua ni typical south Africna music Ukimwangali Davido typical Nigerian music sasa Huwa napata shida kutambua huyu kijana wetu anaimba nini halafu kuna watu mnatoa pofu eti Davido wa kawaida sana show alizofanya Davido kwa Africa peke yake Diomond hata robo hafiki kumbuka kila anakoenda kufanya show anapata Mashabiki so ikitokea kupiga kula kama hivi ni lazima ashinde.... halafu jamani pia lugha nayo katika music inaplay big role. Kijana kajitahidi lakini safari yake kama ataendelea kubebwa na Mawingu Studio the only tuzo atakayobeba ni kili Awards Clouds ni washenzi sana wanamtumia dogo kujinufaosha badala ya kumtangaza kijana Africa nzima
Bosi wako anakupa mshahara wa bure kichwani kweupe
-------- mkubwa wewe hapa hatumwongelei diamond bali tunaongelea Tanzania.nikimaanisha kushindwa kwake ni kushindwa kwetu.na jua sikuzote kushindwa ndio njia ya ushindi.
Promota Majalala a.k.a Fastjet roho itamuuma sana huko aliko(sijui wapi).....
Hamna kitu alikuwa anahemahema tu.
Na nyie muache maneno ya shombo za kijinga
-------- mkubwa wewe hapa hatumwongelei diamond bali tunaongelea Tanzania.nikimaanisha kushindwa kwake ni kushindwa kwetu.na jua sikuzote kushindwa ndio njia ya ushindi.
Bosi wako mwenyewe Tomaso
We mwenyewe Tomaso !
Hamuwezi kujielezea Kwa lugha zote mbili si Kingereza si Kiswahili !
We mwenyewe ukileta thread hapa zinakuwa na maadhi ya kike kike, mipasho mingi ! Kama khadija kopa !
Atleast Akili zingekuwa zina azimwa, Wema sepetu angemwazima Diamond !
Mana in Reality Akili za Diamond na Wema ni Irelevant kabisa !
Wema anaweza kujielezea !
Btw
Diamond kashindwa MTV na wala usitegemee kuchukua B.E.T
labda hao bet wawe na akili fupi kama zenu ! Wewe na kaka yako huyo !
Sio hater but reality tu
no pun !
Kumbuka mafikizolo wanamkubali huyo unaemsema hamna kitu ,na wameomba wameomba wafanye nae collabo ikibidi kulipia gharama za kuendelea kukaa south mpka collabo ifanyike coz wanaamin uwezo na kick yake saiv Afrika ..tupende vyetu @ Yusuph Issa
Bosi wako mwenyewe Tomaso
We mwenyewe Tomaso !
Hamuwezi kujielezea Kwa lugha zote mbili si Kingereza si Kiswahili !
We mwenyewe ukileta thread hapa zinakuwa na maadhi ya kike kike, mipasho mingi ! Kama khadija kopa !
Atleast Akili zingekuwa zina azimwa, Wema sepetu angemwazima Diamond !
Mana in Reality Akili za Diamond na Wema ni Irelevant kabisa !
Wema anaweza kujielezea !
Btw
Diamond kashindwa MTV na wala usitegemee kuchukua B.E.T
labda hao bet wawe na akili fupi kama zenu ! Wewe na kaka yako huyo !
Sio hater but reality tu
no pun !
!lugha sio tatizo appoh inabidi tuutangaze mziki wetu kimataifa na kutengeneza flavor itakayotambulisha mziki wetu zaid ya hapo tutakuwa wasindikizaji tu mbona lady jay dee alichakuwa tuzo za kora africa inabidi diamond uexpand mziki wako!!!!!