MTV Music Awards June 6th, 2014

MTV Music Awards June 6th, 2014

Mkuu nilikuwa najaribu kuonyesha namna wabongo tusivyotakiana heri....uyo davido kapotezwa vibaya stejini na diamond na naweza sema show ya diamond ndio best hadi sasa hapa south....

Mkuu, sote ni watanzania na tungependa kuona dai anapata tuzo ila unaposema show kali ktk mashindano ya muziki tutakua bado hatuja uelewa muziki vizuri au Don William, Celine Dion ambao wanaimba wamekaa hatutawaita wanamuziki?!
 
Kumbuka mafikizolo wanamkubali huyo unaemsema hamna kitu ,na wameomba wameomba wafanye nae collabo ikibidi kulipia gharama za kuendelea kukaa south mpka collabo ifanyike coz wanaamin uwezo na kick yake saiv Afrika ..tupende vyetu @ Yusuph Issa

Wewe ni mshauri wa dai, ila tambua kua muziki ni biashara, hao Mafiki Zoro wanapofanya ft na dai ujue wanalengo la kushika east africa sio kama wao wapo chini kuliko dai.
 
Diamond amejitahidi kiasi chake na anastahili pongezi lakini siafiki kwamba wingi wa wanigeria ni kigezo cha kuwapa ushindi! Unamfahamu Keinan Abdi Warsame ( K'naan) wa Ethiopia? Amekuwa akishinda tuzo despite kupambanishwa na wasanii toka nchi zenye population kubwa kuliko yake!! Kipaji na muziki mzuri kama vipo vitaonekana tu akaze buti..

mi bado nashikilia uzi wangu ule ule wenzetu hawatuelewi lugha tatizo we must change wenzetu wanaongea lugha moja sisi tunaongea lugha yetu
 
mi bado nashikilia uzi wangu ule ule wenzetu hawatuelewi lugha tatizo we must change wenzetu wanaongea lugha moja sisi tunaongea lugha yetu

lugha sio tatizo appoh inabidi tuutangaze mziki wetu kimataifa na kutengeneza flavor itakayotambulisha mziki wetu zaid ya hapo tutakuwa wasindikizaji tu mbona lady jay dee alichakuwa tuzo za kora africa inabidi diamond uexpand mziki wako!!!!!
 
kile kijiji alichoenda nacho sijiu wanarudije wataangaliana usoni kweli

-------- mkubwa wewe hapa hatumwongelei diamond bali tunaongelea Tanzania.nikimaanisha kushindwa kwake ni kushindwa kwetu.na jua sikuzote kushindwa ndio njia ya ushindi.
 
mkuu hod nimekusoma kaka na nautambua na kuuheshimu mchango wako kwa daimond but tubadilike kidogo kaka mziki wetu tuna copy ladha za niger na ndio kitu kimoja kinatuangusha mkuu kiukweli huwezi kumshinda davido na still unaiga radha za mziki wao TUBADILIKE!!!

kitu gani kilichoigwa hapo.ngolongolo au kitu gani.
 
-------- mkubwa wewe hapa hatumwongelei diamond bali tunaongelea Tanzania.nikimaanisha kushindwa kwake ni kushindwa kwetu.na jua sikuzote kushindwa ndio njia ya ushindi.

hizi defensive mechanism haya bwana
 
Ivi huyo Dimond mnaesikitika kakosa anaimba nini cha ajabu... ukiangalia Mafikizoro utagundua ni typical south Africna music Ukimwangali Davido typical Nigerian music sasa Huwa napata shida kutambua huyu kijana wetu anaimba nini halafu kuna watu mnatoa pofu eti Davido wa kawaida sana show alizofanya Davido kwa Africa peke yake Diomond hata robo hafiki kumbuka kila anakoenda kufanya show anapata Mashabiki so ikitokea kupiga kula kama hivi ni lazima ashinde.... halafu jamani pia lugha nayo katika music inaplay big role. Kijana kajitahidi lakini safari yake kama ataendelea kubebwa na Mawingu Studio the only tuzo atakayobeba ni kili Awards Clouds ni washenzi sana wanamtumia dogo kujinufaosha badala ya kumtangaza kijana Africa nzima

pumb.....a
 
-------- mkubwa wewe hapa hatumwongelei diamond bali tunaongelea Tanzania.nikimaanisha kushindwa kwake ni kushindwa kwetu.na jua sikuzote kushindwa ndio njia ya ushindi.

yaani mkuu hauendani na id yako kabisa bora huyo angela bao lake ungepiga puri tubishane kwa hoja si lugha chafu SUCKER!!!
 
Na nyie muache maneno ya shombo za kijinga

Bosi wako mwenyewe Tomaso
We mwenyewe Tomaso !

Hamuwezi kujielezea Kwa lugha zote mbili si Kingereza si Kiswahili !
We mwenyewe ukileta thread hapa zinakuwa na maadhi ya kike kike, mipasho mingi ! Kama khadija kopa !

Atleast Akili zingekuwa zina azimwa, Wema sepetu angemwazima Diamond !

Mana in Reality Akili za Diamond na Wema ni Irelevant kabisa !

Wema anaweza kujielezea !
Btw

Diamond kashindwa MTV na wala usitegemee kuchukua B.E.T

labda hao bet wawe na akili fupi kama zenu ! Wewe na kaka yako huyo !

Sio hater but reality tu
no pun !
 
-------- mkubwa wewe hapa hatumwongelei diamond bali tunaongelea Tanzania.nikimaanisha kushindwa kwake ni kushindwa kwetu.na jua sikuzote kushindwa ndio njia ya ushindi.

kulikuwa na haja gani yakumkejeli mwenzako hivyo ?

Nani kasema kushindwa kwake ndo kushindwa kwa TZ ?
 
Bosi wako mwenyewe Tomaso
We mwenyewe Tomaso !

Hamuwezi kujielezea Kwa lugha zote mbili si Kingereza si Kiswahili !
We mwenyewe ukileta thread hapa zinakuwa na maadhi ya kike kike, mipasho mingi ! Kama khadija kopa !

Atleast Akili zingekuwa zina azimwa, Wema sepetu angemwazima Diamond !

Mana in Reality Akili za Diamond na Wema ni Irelevant kabisa !

Wema anaweza kujielezea !
Btw

Diamond kashindwa MTV na wala usitegemee kuchukua B.E.T

labda hao bet wawe na akili fupi kama zenu ! Wewe na kaka yako huyo !

Sio hater but reality tu
no pun !

Unajua mkuu sisi hatuhitaji reality tunahitaji kusifiana unafiki.
 
Diamond si wa kwanza kuwa nominated kwenye hizi tuzo kubwa kama MTV award......Lazima tukubali kuwa na vionjo vyetu vya muziki ili kuteka soko la Afrika na dunia....otherwise tutaendelea kutoa washindani wasioshinda daima......Wasouth wana vionjo vyao.....Wanaija wanavyo vyao.....Wakongo halikadhalika.....Sisi tunaiga mtindo unaotamba wakati huo kama ilivyo kinaija sasa hivi.....Hadi Madj wana session za kupiga nyimbo za naija radioni na club.........Kwa muda mrefu imesemwa tutengeneze aina muziki wetu walau wenye mchanganyiko wa ngoma zetu za asili (tuna makabila zaidi ya 120 hivyo tuna vionjo zaidi ya 120).Lakini kama kawaida tunajiona wajanja kuiga staili za akina Davido tukifikiri tutakuwa zaidi yao .....never!!!!.....au zaidi ya Usher Raymond.......tunaweza kuiba vionjo vya Hiphop,R&B n.k kwa kuchanganya na flava zetu ikawa aina mpya ya muziki kama wanavyofanya Wanaigeria sasa hadi Marekani muziki wao unatambulika kwavile upo unique kidogo.....hadi uchezaji wake........
 
Kumbuka mafikizolo wanamkubali huyo unaemsema hamna kitu ,na wameomba wameomba wafanye nae collabo ikibidi kulipia gharama za kuendelea kukaa south mpka collabo ifanyike coz wanaamin uwezo na kick yake saiv Afrika ..tupende vyetu @ Yusuph Issa

ingekuwa kila siku unaongea hivi mbona ingekuwa poa sana
 
Bosi wako mwenyewe Tomaso
We mwenyewe Tomaso !

Hamuwezi kujielezea Kwa lugha zote mbili si Kingereza si Kiswahili !
We mwenyewe ukileta thread hapa zinakuwa na maadhi ya kike kike, mipasho mingi ! Kama khadija kopa !

Atleast Akili zingekuwa zina azimwa, Wema sepetu angemwazima Diamond !

Mana in Reality Akili za Diamond na Wema ni Irelevant kabisa !

Wema anaweza kujielezea !
Btw

Diamond kashindwa MTV na wala usitegemee kuchukua B.E.T

labda hao bet wawe na akili fupi kama zenu ! Wewe na kaka yako huyo !

Sio hater but reality tu
no pun !

BORA UWONGO UNAOUMIZA KULIKO UKWELI UNAOCHEKESHA kiukweli wema kamzidi akili hawala yake!!!!!
 
lugha sio tatizo appoh inabidi tuutangaze mziki wetu kimataifa na kutengeneza flavor itakayotambulisha mziki wetu zaid ya hapo tutakuwa wasindikizaji tu mbona lady jay dee alichakuwa tuzo za kora africa inabidi diamond uexpand mziki wako!!!!!
!

hii sikuwahi sikia toka nazaliwa kumbe jide alichukua kora! alikuwa anashindana na wa east afrika pekee au?
 
Back
Top Bottom