ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
Juma Mpogo yupo hai, aliyekufa ni Omary Omary. Je unadhani vijana wakisasa watakuelewa kweli?
Ni nani huyo Margaret??
Huyo alikuwa prime minister aliyewashikisha adabu waingereza,ushirikiano wake ba Robert Reagan walimfanyia fitna mh Nyerere.
Oo kumbee
Hizi ni updates za matkio mbali mbali kuhusu Diamond masaa ya mwishon mwisho kabla ya Tuzo hapo kesho..Diamond pia kaongezwa kwenye orodha ya watakao tumbiza, baada ya Trey Songz
Hali ilivyo leo kwa Diamond
Hahaha wanampamba sana kudanganya watu ila fresh watakuwa wamepata vi-snap na mastaa kadhaa maana mpiga picha wake anajituma kwa hiliNini BET hata BEZ anatwangwa tu kotekote hizi tuzo za kimataifa hakuna kubebwa ye kazoea kubebwa na wapaka poda wa magorofani hukp hakuna huo ushenzi.
Kumshinda Davido itakuwa ngumu.
Kwani MMU hawapigi kura, hawapendi muziki...
hujawahi hudhuria JF Party ungejua muziki ulivyo damuni!
Karibu june kwenye party pale serena hotel!
Mkuu hii comment imemaliza kila kitu, pale wangemuweka chameleone. Poor dada mondwanafananisha umaarufu wa nje na wa ndani,hivi kweli Diamond wa kumfananisha na Davido kwa umaarufu?
skelewu inapigwa africa nzima,hata kwenye clubs kibao inapigwa,mi nakuambia hata kungekuwepo tuzo za East Africa Diamond kuchukua msanii bora atatoa jasho