MTV Music Awards June 6th, 2014

MTV Music Awards June 6th, 2014

Juma Mpogo yupo hai, aliyekufa ni Omary Omary. Je unadhani vijana wakisasa watakuelewa kweli?

Naombeni mnisahihishe kama sipo sawa kuna jamaa walikuwa wanajiita Jagwa waliimba wimbo unaitwa Alli Mwinyi hodari ,Ali mwinyi ,ameongoza jahazi.Mambo ya mchiriku hayo.
 
attachment.php


attachment.php


attachment.php



Hizi ni updates za matkio mbali mbali kuhusu Diamond masaa ya mwishon mwisho kabla ya Tuzo hapo kesho..Diamond pia kaongezwa kwenye orodha ya watakao tumbiza, baada ya Trey Songz


Hali ilivyo leo kwa Diamond

Badokidogo uandike. Matakombalimbali
 
Nijuavyo jf anakuja sasa hivi mtu kuuliza hivi diamond ninani
 
Nini BET hata BEZ anatwangwa tu kotekote hizi tuzo za kimataifa hakuna kubebwa ye kazoea kubebwa na wapaka poda wa magorofani hukp hakuna huo ushenzi.
Hahaha wanampamba sana kudanganya watu ila fresh watakuwa wamepata vi-snap na mastaa kadhaa maana mpiga picha wake anajituma kwa hili
 
wanafananisha umaarufu wa nje na wa ndani,hivi kweli Diamond wa kumfananisha na Davido kwa umaarufu?
skelewu inapigwa africa nzima,hata kwenye clubs kibao inapigwa,mi nakuambia hata kungekuwepo tuzo za East Africa Diamond kuchukua msanii bora atatoa jasho
Mkuu hii comment imemaliza kila kitu, pale wangemuweka chameleone. Poor dada mond
 
mwanzo huwa mgumu siku zote but nina uhakika jamaa akiendelea kukaza hivi atachukua tu kama si next year basi ni next next year
 
Back
Top Bottom