Vipi huko ishaanza? Naona tangazo la samsung na Top 5 tu kwa mtv base au hii channel haionyeshi?
Hv huyu dogo akichukuwa bet mtaani patakalika kweli
Bora asiishike
Saa tatu ya durban ni saa nne ya bongo. Wanaonyesha nyimbo za nominees kwanza
Inaanza muda gani??
Nadhani ni leo usiku kule Natal Kwazulu. Hii ni MTV Awards Africa.
Kwa Tanzania inawezekana ni saaHawa mtv base hawaeleweki wamesema wataanza saa 20:00 lakini mpaka sasa wanakata viuno tu.
mko wapi? mbona ishaanza na tayar diamond kashakosa category moja alokuwa anawania ya Best collabo?Imebak ya best male
Hiyo aliyo kosa ndio nilikuwa na imani nayo sana kuliko iliyo baki.mko wapi? mbona ishaanza na tayar diamond kashakosa category moja alokuwa anawania ya Best collabo?Imebak ya best male
Hongera zake.Lupita Nyongo kachukua personality award.
mko wapi? mbona ishaanza na tayar diamond kashakosa category moja alokuwa anawania ya Best collabo?Imebak ya best male