Basi kama kakosa best colabo,hata hiyo male hatopata,any way hongera zake hata kufika hapo si kazi rahisiHiyo aliyo kosa ndio nilikuwa na imani nayo sana kuliko iliyo baki.
mko wapi? mbona ishaanza na tayar diamond kashakosa category moja alokuwa anawania ya Best collabo?Imebak ya best male
Imetolewa saa ngapi wewe??
matumbo unatuyeyusha Lupita katangazwa saa ngapi? Mbona KakaJambazi mmemuacha? Shadeeeiya bibi bomba na shangazi ezekiel tupeni update.
Hiyo aliyo kosa ndio nilikuwa na imani nayo sana kuliko iliyo baki.
Hata mi nashangaa hawa wenzetu wameonea wapi.
Hata mi nashangaa hawa wenzetu wameonea wapi.
Abenago ebinagooo kashinda best female ACT.
Abenago ebinagooo kashinda best female ACT.
Daa na hiyo kakosa.Basi kama kakosa best colabo,hata hiyo male hatopata,any way hongera zake hata kufika hapo si kazi rahisi
diamond kakosa tuzo moja kati ya mbili alizokua anagombania karata yake ya mwisho ndani ya dk kadhaa maombi yenu yanaitajika aliechukua ni msouth africa kwenye best collaboration