MTV Music Awards June 6th, 2014

MTV Music Awards June 6th, 2014

diamond na wema kwenye red kapet
C
lose
Bpi3SOIIEAEKyxt.jpg:large

Am watching via startimes channel number 421. LIVE
 
diamond kakosa tuzo moja kati ya mbili alizokua anagombania karata yake ya mwisho ndani ya dk kadhaa maombi yenu yanaitajika aliechukua ni msouth africa kwenye best collaboration
 
Basi kama kakosa best colabo,hata hiyo male hatopata,any way hongera zake hata kufika hapo si kazi rahisi
Daa na hiyo kakosa.

Lakini asivunjike moyo amejitahidi sana kimusic.
 
diamond kakosa tuzo moja kati ya mbili alizokua anagombania karata yake ya mwisho ndani ya dk kadhaa maombi yenu yanaitajika aliechukua ni msouth africa kwenye best collaboration

Tuzo ya collabo bado hata acheni uzushi
 
Back
Top Bottom