MTV waandaa collabo ya Ne-Yo na Diamond Platnumz, this is epic!

Hivi kwa nini Diamond hajagombea Urais kupitia chama chetu cha kizalendo ACT, yaani angeshinda kwa kishindooo...

#Diamond ni mkubwa kuliko CCM na UKAWA...

#ndo nshasema... kama hutaki kanye west...
 
Neyo ni msanii mbuzi tu ingekuwa trey songz hapo sawa, alaf kuna tetes kuwa mondy walienda na madawa hotelini.

Oh my LORD..!!! Ivi unajua wewe unaweza mpa mtu sumu afe.
 
Chakula kitamu siku zote huchukua muda kuiva. .King kiba anatoa madikodiko
 
Neyo ni msanii mbuzi tu ingekuwa trey songz hapo sawa, alaf kuna tetes kuwa mondy walienda na madawa hotelini.

Duuuuh mkuu chibu atakuua kwa presha mara oooh akipata tuzo natembea uchi.....tuzo akapata ukakimbia jukwaa leo mara kaenda n madawa kwani chibu amekua nsembo au rummy....kiba sio level yke tena kodi y nyumba tu imemshinda ndio itakua mziki
 
Heheheheeeeeee!!!halohalooooooo!!tumejipanga,mwaka huu wataisoma....Chibu unasemaje??Platnum featuring nani???
 
Hivi kwa nini Diamond hajagombea Urais kupitia chama chetu cha kizalendo ACT, yaani angeshinda kwa kishindooo...

#Diamond ni mkubwa kuliko CCM na UKAWA...

#ndo nshasema... kama hutaki kanye west...

ahahahahaha waambie haoo my!!hapana cheza na Chibu bwana hata mara moja!

Wasiyempenda Diamond kanyweni viroba mpunguze stresss
 
Mtaongea sana mwisho wa siku kura nyingi zitabakia kwa King Kiba
 
Samahani jaman,mi mgeni hapa tz.Hivi kuna wasanii wengine wa music hapa tz?Mana mi namjua Diamond tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…