MTV waandaa collabo ya Ne-Yo na Diamond Platnumz, this is epic!

Hv ile collabo aliyotafutiwa na mzee wa magogoni iliishia wapi

dah hatuwezi jua aisee mond mjanja sana na msiri ikija kwe mziki!! huwez jua akili zetu zinawaza mond feat neyo mambo yakageuka ka ilivyokuwa kwa wimbo wa nana hata hatukujua kabisa ilikuwa ka suprise flan hiv
 
Hivi kwa nini Diamond hajagombea Urais kupitia chama chetu cha kizalendo ACT, yaani angeshinda kwa kishindooo...

#Diamond ni mkubwa kuliko CCM na UKAWA...

#ndo nshasema... kama hutaki kanye west...

Wewe dada ni mjinga wa kupindukia, atakae kuoa wewe atakua ni mzigo sana, sasa akili ya hivi jamani?? doooh we ni jiwe kabisa.
 
Hahahaaaa.....kichefu chefu kikikuzidia nusa kwapa...

#Act ndo habareeee..
 
I like Diamond a lot bana, dogo anajua kutumia fursa ipasavyo
Wakati ilipo postiwa kwamba Diamond atatumbuiza jukwaa moja na Neyo mwenye MTV Mama mashabiki wa Diamond walivamia page ya Neyo na kumuomba kolabo na Diamond hadi Neyo mwenyewe alishangaa comments alizokua anazipa kwa kila post zilikua zaidi ya kawaida
Na alipotua tu South Africa mtu wa kwanza kumuulizia waonane naye ilikua ni Diamond, kama kawaida Domo hakifanya kosa na makubaliano ya kolabo yakafanyika palepale

Juzi kaja kwenye coke studio mashabiki wa King Kiba wakaanza kelele na le project ya koce studio eti ndio kolabo, wakaenda mbali na kudai eti walinzi wa Neyo walimtimua Salaam sk na kama sio King kiba angeadhirika........ Masikini hawakujua kinachoendelea, Chibu mtu mbaya sana kwa kuwatesa mashabiki wa Kiba
Nasikia hii kolabo ilitakiwa iwe sapraizi kama nana lakini kwasababu ya makelele ya wanazi wa King kiba ndio imebidi Chibu atupie insta kuwanyoosha

Cc Shardcole pwilo nifah kedrick Ms.Lincoln

mi nataka unijibu swali moja tu tusizunguke sana kwa nn meneja wa daimond alipiga picha na ali kiba wakati alishasema ni mwizi wanaiba nyimbo za daimond ili wauze chini ya Rockstr 4000presents
 
Last edited by a moderator:

hizo habari zimeandikwa na blogs ya kenya mana wangeandika tz mngesema anachukiwa na kenya je mwambieni dogo aache sifa tena wamemuhurumia tu ila ilikuwa wampeleke mbali zaidi coz kama anaproject na neyo angetumia juhudi binafsi kumpata sio anasubiri coke wamlete ili apate mtelezo kafanya kosa kubwa sana dogo ile siku
 
Attachments

  • 1440243356894.jpg
    1440243356894.jpg
    26.8 KB · Views: 223
  • 1440243384586.jpg
    1440243384586.jpg
    36 KB · Views: 215
  • 1440243436985.jpg
    1440243436985.jpg
    38 KB · Views: 212
Last edited by a moderator:
Kiba ckumuona akiwa studio na neyo zaidi ya kumuona akiwa chumbani na neyo pwilo Shardcole

haha msimfananishe kiba na huyo boya wa tandale sasa mbona mnautukana neyo insta kisa hajampost daimond wakiwa pamoja haha
 
Last edited by a moderator:
we kedrick na Mayu kawaondoeni wenzenu insta kwenye page ya neyo wanatutia aibu tz
 
Attachments

  • 1440244067895.jpg
    1440244067895.jpg
    62.1 KB · Views: 220
Last edited by a moderator:
Ila Chibu anajua kuwanyoosha team kiba jamani khaa
Yaani wote kimyaaaa
Mbwembwe zote kwisha wanaogopa hata kuchangia kudadeki

atunyoosheki sisi kiba4life nampa mwaka tu huyo jamaa soon tandale inamuita
 
hizo habari zimeandikwa na blogs ya kenya mana wangeandika tz mngesema anachukiwa na kenya je mwambieni dogo aache sifa tena wamemuhurumia tu ila ilikuwa wampeleke mbali zaidi coz kama anaproject na neyo angetumia juhudi binafsi kumpata sio anasubiri coke wamlete ili apate mtelezo kafanya kosa kubwa sana dogo ile siku

Wewe pia unaamini diamond kakosea ? Si walikua na huo mpango wa collabo tangu walipokutana MTVMAMA.
 
mi nataka unijibu swali moja tu tusizunguke sana kwa nn meneja wa daimond alipiga picha na ali kiba wakati alishasema ni mwizi wanaiba nyimbo za daimond ili wauze chini ya Rockstr 4000presents

Aliyeiba nyimbo si kiba ni management yake
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom