MTV waandaa collabo ya Ne-Yo na Diamond Platnumz, this is epic!

MTV waandaa collabo ya Ne-Yo na Diamond Platnumz, this is epic!

Chibu msanii mkubwa. Diamondplatnumz ft neyo shughuri imekwisha.
 
Huyu diamond wamuache kama alivyo,Kiba kama ataendelea kuvimba kichwa atazidi kujipa stress na atajikuta anashuka maana atashndwa kutuliza kichwa na kutoa ngoma za maana.
 
Msanii wa Marekani ambaye umuambie chochote kwa anavyo mkubali chibu Neyo baada ya jana kufanya collabo nae leo ame amua kum
follow instagram DIAMOND na mpiga picha wake Kifesi. Kibakuli ana mtag neyo na kum rekodi mavideo hadi Leo haja mfollow
Cc pwilo Shardcole

Neyo kam follow diamond?? Hagagagagaaaa ushabiki mwingine..
 
Last edited by a moderator:
Neyo kam follow diamond?? Hagagagagaaaa ushabiki mwingine..

Na nimeiweka makusudi maalumu kwa hao watu wenu pwilo na shardcole c waliweka uzi davido kam follow kiba nataka kuckia watasemaje
 
Na nimeiweka makusudi maalumu kwa hao watu wenu pwilo na shardcole c waliweka uzi davido kam follow kiba nataka kuckia watasemaje

Neyo haja mfollow diamond..
Lete ushahidi.. kamfollow kifesi tuu
 
Kwi kwi kwi. Laiti ungejua. Hii ndio shida ya kutojishughulisha na kukaa kutwa kusifia wanaume. Yaani wewe mtu kumiliki bastola na gari una kabisa haiwezekani. Acha kuishi kwa shemeji yako tafuta kazi fanya. Utaishia tuu kusifia wanaume kwa mpango huo.

Iki kizazi cha ukawa kina matatizo sana
 
Neyo haja mfollow diamond..
Lete ushahidi.. kamfollow kifesi tuu

Insta ya neyo iyo hata ukitaka nenda now utakuta
 

Attachments

  • 1440143869597.jpg
    1440143869597.jpg
    30.3 KB · Views: 254
Dah kaiba for the first time duku duku limenikaba kooni yaani haijawahi kutokea ktk maisha yangu hapo kabla ijapakuwa nimeanza kuupenda huu mziki toka mwaka 2000

ila yote na yote ongera kwake kijana wa hapa kazi tu

ukawa mi nilie pekee yangu
 
naamini mtakuja kuona aibu na kutafuta pakujifichia pindi wajina Kaiba inatosha
kwa sasa nanyamaza kimya sizungumzi kitu ila siku itapofika mtalia kwa kusaga meno

Neyo asingekuja hapo kwa jirani msingekuwa na uwezo wa kufanya naye collabo nyinyi

Mkuu TAYOKO aibu tutaona sisi au wewe pitia mitandao ya kenya,uganda na tz koote dude lishawekwa studio na diamond kaonekana na producer wake wako studio mixer NEYO kwa pembeni
Ww ndo utakayesaga meno kiba hana jipya level aliyonayo sasa hiv ndo mwisho wake
 
Back
Top Bottom