MTV waandaa collabo ya Ne-Yo na Diamond Platnumz, this is epic!

we jipe moyo tu hivi unadhani nini kitatokea kwake ukawa wakichukua nchi ???

Hamna kitachobadilika dogo kwani kina proffessor jay na wengineo waliokuwa wanasupport vyama pinzani bado wanaendelea kufanya vizuri.
 

We baki unalilia tu hapo wakati mwenzako ameishaktumia fursa kitaaambo
 
atunyoosheki sisi kiba4life nampa mwaka tu huyo jamaa soon tandale inamuita

Hizi dua zakuku mbona zimeisha chuja siku hizi
Yalisemwa alipo zoa kili award lakini hadi sasa ndio kwanza anazoa na mtv
 
Ofcoz ipo hivi Dimond kashajua kwamba ili aendelee kutamba ni lazima afanye kolabo tu ndo imbebe ila kutoa nyimbo yy kama yy kama kiba kwenye Mwana na Cheketua then ngoma isimame hawez hilo la kwanza la pili History will remain there kwamba Alikiba ndo msanii wa kwanza Tanzania kufanya kaz na Neyo na hii inaendeleza rekod yake ya project ya one8 so anakuwa msanii wa kwanza pia kufanya kazi na wasanii wawili wa Dunia ambapo ni R.kell na sasa Neyo kwa ufupi Alikiba ndo mkata utepe kati ya Tanzania na Marekani au na Dunia kwa hiyo basii pigeni keleleeee ila mnajua ukweli moyon mwenu na SI LAZIMA MUUSEME
 
Kwanin kiba anataka kufanya collabo na ice prince wa nigeria ka c na yeye atake kutamba kimataifa!mond katoa nyimbo ka ntampata wap na nasema nawe ila zime hit kwel na wala hakumshirikisha msanii wa nje!!Sawa itabaki historia kiba kafanya project za watu wengine na wasanii wa marekani kivp zilimsaidia au zimemsaidia kujulikana na kupata tuzo za kimataifa?project ya one 8 ilikuwa fursa kubwa kiba kutoka na kujulikana kimataifa lakin alibweteka!msanii ni kuzitumia fursa anazozipata!mond kaperfform na neyo mtv ila juzi tu kaingia studio kurecord nae!!Naamin kwa ushindan uliopo sasa kiba na wasanii wengine wataamka na kufanya kazi kwa bidii zaid!mond amewaamsha na kuonyesha mfano kwa wasanii wengine wa bongo!so kwa kiba nae piga ua collabo atafanya tu aweze kujulikana tena hasa afrika kwanza!!mkuu ushabiki tuweke pemben tuongee ukweli!sina chuki na ali kiba
 
collabo za kiba zote kashirikishwa we huoni tofauti hapo kushirikishwa na nyimbo kuwa yako
 
collabo za kiba zote kashirikishwa we huoni tofauti hapo kushirikishwa na nyimbo kuwa yako
Huwa sipendi ligi yaishe!!Utakuja kuniambia mwenyewe yani kushirikisha wasanii wa nje c o la kupinga hilo
 

me nlitaka tu kwa hao wanaoona kwamba Dimond ndo kafanya bonge la kitu kuimba na neyo kwa hiyo wakataka kumlinganisha na kiba hilo suala waache pemben kiba siyo mtu wa kawaida la pili nitajie msanii yyte wa project ya one8 aliyeimba na R.kelly baada ya ile project zawadi ntakayokupa ni KUKUFUNGULIA DUKA LA JUMLA SINZA KIJIWENI ukintajia,la tatu ntampata wapi haijatamba kama Mwana...Alikiba akitaka kufanya kazi na msanii yyte Dunia hii hapati tabu ya kujieleza kufanya kazi na R.kelly ni credit kubwa sana ambayo Mond huenda akaipata lakin historia itabak pale tena kwamba kiba ndo wa kwanza,sikatai kusema kwamba kiba hatomshirikisha msanii kwenye kazi zake lakini tukubali Kiba siyo msanii anayetegemea kolabo ili apate kick,wamekutana na dimond kwenye tuzo kadhaa za kimataifa nambie kwa nyimbo ipi ilombeba?..KIBA kama maji usipokunywa utaoga tuuu hahahahahaaa watu kiiba,kiiba,kiiba,kiiba,kiiba...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…