pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
we jipe moyo tu hivi unadhani nini kitatokea kwake ukawa wakichukua nchi ???Hahahahaaa kila mwaka mnajipa moyo mr icon ndo kwanza anazidi ku paa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we jipe moyo tu hivi unadhani nini kitatokea kwake ukawa wakichukua nchi ???Hahahahaaa kila mwaka mnajipa moyo mr icon ndo kwanza anazidi ku paa
we jipe moyo tu hivi unadhani nini kitatokea kwake ukawa wakichukua nchi ???
mbona aliekuoa wewe hajalalamika
hizo habari zimeandikwa na blogs ya kenya mana wangeandika tz mngesema anachukiwa na kenya je mwambieni dogo aache sifa tena wamemuhurumia tu ila ilikuwa wampeleke mbali zaidi coz kama anaproject na neyo angetumia juhudi binafsi kumpata sio anasubiri coke wamlete ili apate mtelezo kafanya kosa kubwa sana dogo ile siku
atunyoosheki sisi kiba4life nampa mwaka tu huyo jamaa soon tandale inamuita
mbona aliekuoa wewe hajalalamika[/QUOTEEmbu ibadilishe sentensi yako hii kwa kiingereza?? maana staki wadananda ambao hawajasoma.
Ushaambiwa kama hutaki Kanye west
ahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!sio kwa bango hili jamani!Chaaaa!!!!
mbona aliekuoa wewe hajalalamika
bishez wanajuana tu.
Kwanin kiba anataka kufanya collabo na ice prince wa nigeria ka c na yeye atake kutamba kimataifa!mond katoa nyimbo ka ntampata wap na nasema nawe ila zime hit kwel na wala hakumshirikisha msanii wa nje!!Sawa itabaki historia kiba kafanya project za watu wengine na wasanii wa marekani kivp zilimsaidia au zimemsaidia kujulikana na kupata tuzo za kimataifa?project ya one 8 ilikuwa fursa kubwa kiba kutoka na kujulikana kimataifa lakin alibweteka!msanii ni kuzitumia fursa anazozipata!mond kaperfform na neyo mtv ila juzi tu kaingia studio kurecord nae!!Naamin kwa ushindan uliopo sasa kiba na wasanii wengine wataamka na kufanya kazi kwa bidii zaid!mond amewaamsha na kuonyesha mfano kwa wasanii wengine wa bongo!so kwa kiba nae piga ua collabo atafanya tu aweze kujulikana tena hasa afrika kwanza!!mkuu ushabiki tuweke pemben tuongee ukweli!sina chuki na ali kibaOfcoz ipo hivi Dimond kashajua kwamba ili aendelee kutamba ni lazima afanye kolabo tu ndo imbebe ila kutoa nyimbo yy kama yy kama kiba kwenye Mwana na Cheketua then ngoma isimame hawez hilo la kwanza la pili History will remain there kwamba Alikiba ndo msanii wa kwanza Tanzania kufanya kaz na Neyo na hii inaendeleza rekod yake ya project ya one8 so anakuwa msanii wa kwanza pia kufanya kazi na wasanii wawili wa Dunia ambapo ni R.kell na sasa Neyo kwa ufupi Alikiba ndo mkata utepe kati ya Tanzania na Marekani au na Dunia kwa hiyo basii pigeni keleleeee ila mnajua ukweli moyon mwenu na SI LAZIMA MUUSEME
collabo za kiba zote kashirikishwa we huoni tofauti hapo kushirikishwa na nyimbo kuwa yakoKwanin kiba anataka kufanya collabo na ice prince wa nigeria ka c na yeye atake kutamba kimataifa!mond katoa nyimbo ka ntampata wap na nasema nawe ila zime hit kwel na wala hakumshirikisha msanii wa nje!!Sawa itabaki historia kiba kafanya project za watu wengine na wasanii wa marekani kivp zilimsaidia au zimemsaidia kujulikana na kupata tuzo za kimataifa?project ya one 8 ilikuwa fursa kubwa kiba kutoka na kujulikana kimataifa lakin alibweteka!msanii ni kuzitumia fursa anazozipata!mond kaperfform na neyo mtv ila juzi tu kaingia studio kurecord nae!!Naamin kwa ushindan uliopo sasa kiba na wasanii wengine wataamka na kufanya kazi kwa bidii zaid!mond amewaamsha na kuonyesha mfano kwa wasanii wengine wa bongo!so kwa kiba nae piga ua collabo atafanya tu aweze kujulikana tena hasa afrika kwanza!!mkuu ushabiki tuweke pemben tuongee ukweli!sina chuki na ali kiba
collabo za kiba zote kashirikishwa we huoni tofauti hapo kushirikishwa na nyimbo kuwa yako
may b currently he is not in tzNasikia kingkiba leo atakuwepo Jangwani ni kweli?!
may b currently he is not in tz
Huwa sipendi ligi yaishe!!Utakuja kuniambia mwenyewe yani kushirikisha wasanii wa nje c o la kupinga hilocollabo za kiba zote kashirikishwa we huoni tofauti hapo kushirikishwa na nyimbo kuwa yako
Kwanin kiba anataka kufanya collabo na ice prince wa nigeria ka c na yeye atake kutamba kimataifa!mond katoa nyimbo ka ntampata wap na nasema nawe ila zime hit kwel na wala hakumshirikisha msanii wa nje!!Sawa itabaki historia kiba kafanya project za watu wengine na wasanii wa marekani kivp zilimsaidia au zimemsaidia kuju<script id="gpt-impl-0.12207351910046932" src="http://partner.googleadservices.com/gpt/pubads_impl_69r.js"></script>likana na kupata tuzo za kimataifa?project ya one 8 ilikuwa fursa kubwa kiba kutoka na kujulikana kimataifa lakin alibweteka!msanii ni kuzitumia fursa anazozipata!mond kaperfform na neyo mtv ila juzi tu kaingia studio kurecord nae!!Naamin kwa ushindan uliopo sasa kiba na wasanii wengine wataamka na kufanya kazi kwa bidii zaid!mond amewaamsha na kuonyesha mfano kwa wasanii wengine wa bongo!so kwa kiba nae piga ua collabo atafanya tu aweze kujulikana tena hasa afrika kwanza!!mkuu ushabiki tuweke pemben tuongee ukweli!sina chuki na ali kiba