I missed you so so so much
Mkuu...comment zako sio za kushangaza...kwa sababu hata sasa hamuamini kuwa Diamond kaiteka Africa
Africa ipi? Mwambieni aende Kinshasa, Brazaville, Cairo, Casablanca, Tripoli, Bamako, Guinue, Mali, Sudan, Madagasca, Commoro, DJibout, Eritrea, Ethiopia, Algeria, Zimbabwe, Botswana, Zambia, Swaziland, Lesotho, Mozambique, Tunisia, Ghana...... Nimechoka kutype labda wewe East Africa unadhani ndio Africa, hivi unajuwa hata Africa ina nchi ngapi?
mimi je!?yaani nilikumis mpaka nikailaani ban!hasa habari njema ya mtu kufukuzwa kwenye hekalu ilizidi kuniuma
Mkuu ni ngumu sana Gentile kuwa mfuasi wa Yesu
Pole sana....ni kawaida ...sasa na wewe usiwe unapanic na wale ma shikorobo......Wao humu matusi yao ni kuondoa stress...Welcome back...Unatumia kinywaji gani?
Habari za Yesu hapa zinahusikaje? Nimekuwekea orodha ya nchi za kiafrica hapo kwa uchache utueleze ni nchi gani hapo Domo ameiteka?
Kwanza kitu ambacho haukijuwi Domo hata South Africa ni location tu ya kufanyia kazi zake lakini hawezi kuwapata wasouth, hili huwezi kulijuwa kama huwajui Wasouth ndio maana husikii tour za Diamond kufanya show South Africa.
Ahahaaa!kuna vitu ilitakiwa nijibu ili mtu/watu wakae sawa kimawazo!ikifika saa 18:30 niletee juice ya RED GRAPE Fresh kabisaa
MTV ni wapuuzi sana....Yaani wanachukua watu wasio popular Africa
Nimekwambia nioneshe kwenye hizo nchi nivwapi Diamond ameziteka? Unakata viiuno badala ya fact, hapa ndio utaijuwa tofauti ya mtu anayetegemea internet na mtu anayejuwa.
Labda nikuachie home work tu jiulizee ni kwa nini wasanii waTanzania hawafanyi show South Africa? Huwezi kupata jibu hili kwa kugoogle muulize mtu aliyeishi pale atakwambia.
Mkuu ...duh...viuno tena?
Maumivu yakizidi mfuate daktari
Kama hujui popularity Ya Almasi Afrika wewe ni kijiba roho tu kinakusumbua.................kijana wetu anajituma anafanya kazi inayoonekana....Rwanda Burundi Zimbabwe Cairo Niger Ghana Kenya Uganda SA Nigeria Morocco Sudan Somalia Eritrea Botswana Swaziland Liberia Mozambique Malawi Zambia Kinshasa Congo Brazavilee....Ukiuliza mtu yeyote kwenye nchi hizo wanatambua Almasi ni Nani........
Your request is my command....
Saa 18:25 ntakuwa mlangoni hapo
Mkuu,Ule mchango ulioitishwa na Matola sasa umepata mtumiaji...MFALME asiye na Nyumba...anayeishi kwa msaada wa wanawake (Women Empowermet)-Wanawake mkiamua mnaweza
Basi yatosha tufanye Diamond ameikamata Dunia.
Ahsante kwa baraka zako mkuu
Almasi anao uwezo huo...kwa juhudi...maarifa na kujituma....imagine amejifunza kingereza na kuweza kuongea vyema ingawa ana elimu ya darasani ndogo sana....Kwa kujituma kwake atafika huko......Asante kwa sala zako
Wakati tuko hai na tunaishi....Sky is the Limit...
We are Proud of Almasi Nassib Abdul.....
Mkuu Matola uache kuishi kwa women empowerment.....
Ndio maana nikakwambia akili yako ni ndogo, kingereza ni lugha kujifunza na kuongea kingereza kama kwako ni maajabu pole sana aliyekuroga kafa.
Hongera unayeishi kwa Men empowerment sijui kama wewe ni salama au lawama?
Nafasi kama hizo Diamond huwa hakosei. Kitendo tu cha kupiga shoo pamoja itakuwa nafasi kwa Diamond na management yake kutafuta collabo na Neyo.
Diamond angejua madhara ya hiyo collabo angeghairi tu...atasababisha kiba aanze GUTA TOUR