MTV waandaa collabo ya Ne-Yo na Diamond Platnumz, this is epic!

MTV waandaa collabo ya Ne-Yo na Diamond Platnumz, this is epic!

mmesikiliza amplifaya leo??? neyo kwenye interview aliulizwa na Vanessa wasanii gani anawafahamu Africa? akasema Diamond..... yote imetokana na vurugu za mashabiki kuchafua page ya neyo instagram kwa kumtag diamond kila comment so jamaa lisema baada ya kuona comments akaamua amuangalie huyu kijana kwenye social media.. ndio maana leo alipofika SA akamuulizia diamond
 
Mkuu hichi ndio kitu King kiba na wasanii wa kibongo wanakikosa........ Kucheza na akili za mashabiki na followers wako kwenye social media

ImageUploadedByJamiiForums1437172755.360717.jpg
 
Phew!!! I cant believe NeYo is funky ducking in south africa, aki ni kuchoka au?
 
Neyo mbona amechoka mwenyewe? Collabo ya ukweli afanye na Usher
 
nakumbusha tuu jamen kwamba ne-yo kwasasa hana impact kubwa America..dizain kama kazima iv ko tusitegemee mikikimikiki yenye uzito kwa collabo hii..otherwise tujiandae kuyapokea..?!

Unaposema hana impact amerika unamaanisha nini... Hebu pitia chati za billboard mwaka jana na mwaka huu ndo uje uongee utumbo kama huu tena
 
Ne-Yo anajua. Nimeona video clip moja wako studio na Celine Dione we acha tu, jamaa muziki ni kazi yake.

Sio tu kuimba Ne-yo anajua sana Kuandika... Kaandika ngoma nyingi sana zilizofanya na zinazofanya vizuri
 
nakumbusha tuu jamen kwamba ne-yo kwasasa hana impact kubwa America..dizain kama kazima iv ko tusitegemee mikikimikiki yenye uzito kwa collabo hii..otherwise tujiandae kuyapokea..?!

Neyo hana impact US? hivi unajua amechukua tuzo ya Grammy lini?
 
nakumbusha tuu jamen kwamba ne-yo kwasasa hana impact kubwa America..dizain kama kazima iv ko tusitegemee mikikimikiki yenye uzito kwa collabo hii..otherwise tujiandae kuyapokea..?!

Kama hujui habari za hawa watu bora upotezee tu.
 
Neyo hana impact US? hivi unajua amechukua tuzo ya Grammy lini?

Hahah kwani kuchukua tuzo ya grammy ndo kuwa na impact... Kwa muda wako kaangalie chriss brown amewahi kuchukua grammy lini halafu jiulize ana impact au hana
 
we unaejua inabid uhusike tuinform RAIA..otherwise hapakua na haja ya reply nilichopost..?!
 
Unaposema hana impact amerika unamaanisha nini... Hebu pitia chati za billboard mwaka jana na mwaka huu ndo uje uongee utumbo kama huu tena
unapozungumzia mw¨¤namziki on hits lazimA utaconsiderthe moment..about diamond tc Nana,alikiba tc chekecha,ruby -na yule,xo wot about Ne-Yo
 
Haya sasa! Ne-yo na Diamond washakutana huko... Na kama tunavyomjua Diamond ni mzee wa Fursa... tutegemee kitu kikubwa kuanzia sasa..

Natamani kila Mwanamuziki hapa Tz awe inspired na mafanikio ya Diamond tupate hata wasanii 20 watakaowakilisha Tz ili tuje tuidominate Africa kimuziki maana inawezekana, kama vile 2face na Psquare walivyotengeneza njia ya Muziki wa Nigeria kuiteka Africa basi hata Sisi tutafika huko na hii ni kama tu tutasupport wanamuziki wanaofanya Vizuri nyumbani.

View attachment 268954
Mungu akihamua kushusha baraka ana zishusha hadi unatamani kukimbia! Ni wakati wa D kuteka soko la America huu unaweza kuwa mwanzo!
 
Back
Top Bottom