Mtwara: Askari Polisi mmoja kati watuhumiwa wa mauaji ya mfanyabiashara alikutwa mahabusu akiwa amejinyonga tarehe 22 Jan 2022

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].kwani siku ya kuingia utaijua?
Unashangaa tu watu wanakuja wanajitambulisha sisi NI askari kutoka polisi kituo Fulani unahitajika kituoni.
Weee[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Nadhani ni vyema wizara ya mambo ya ndani kuangalia maslahi ya polisi..ikiwemi mishara na marupu rupu mengine ili wasishawishike kudhulumu wananchi hela zao
Njaa nayo ni mbaya wandugu
Hamna sio maslahi wala nini? Issue jeshi la polisi ni genge la wahuni... Wapo askari wazuri ila kuna wenye roho mbaya kupita wanyama.
 
Madale pale NI gorofa moja.ni zege tu.na Kuna kidirisha Cha NONDO kwa juu
Sasa mpo 30 kuna zege juu hakuna Kenchi kuna kadirisha kadogo juu na bado unaamini kwamba jamaa kajinyonga kwa dekio
 
Hamna sio maslahi wala nini? Issue jeshi la polisi ni genge la wahuni... Wapo askari wazuri ila kuna wenye roho mbaya kupita wanyama.
Kabisa yani kama hujui hawa wafanya biashara wanachomana kwa mapolisi ndio maana jamaa wanakuwaga na taarifa zote haiwezekani waje kwako tu na kukusachi hamna iyo kitu
 
Hilo ni move...mtuhumiwa hapaswi kuwa na kitu chochote,ikiwemo mkanda,kifaa chenye ncha Kali na mengineyo....inawezekanaje kuwe na dekio Tena lenye uwezo wa uzima na uimara hivyo? Waache kutufanya wajinga
 
MAHABUSU ni tofauti.labda tungepanda picha ya hyo mahabusu ikoje na Hilo tambala likoje
Sasa mpo 30 kuna zege juu hakuna Kenchi kuna kadirisha kadogo juu na bado unaamini kwamba jamaa kajinyonga kwa dekio
 
Wote hao mshahara wao sio chini ya laki tisa kwa mwezi plus laki 3 posho Kati Kati ya mwezi. Ukiingia bank unavuta Mkopo milioni 25 kwann uue mtu kwa hela hio mnagawana bei gani sasa. Unaua mtu umechunguza damu yake Ina password au ukoo wake unaruhusu damu yao kupotea bure.
 
Tamaa

Ova
 
Sasa mpo 30 kuna zege juu hakuna Kenchi kuna kadirisha kadogo juu na bado unaamini kwamba jamaa kajinyonga kwa dekio
Kama Mimi ni jaji kwa tukio hili ni ushahidi wamemuua mwenzao Ili kuficha ushahidi nawapa kesi ya mauaji mbili ya mfanyabiashara na ya polisi jambazi.
Ushahidi wa mazingira kabisa huu wamemuua mwenzao
 
Kama Mimi ni jaji kwa tukio hili ni ushahidi wamemuua mwenzao Ili kuficha ushahidi nawapa kesi ya mauaji mbili ya mfanyabiashara na ya polisi jambazi.
Ushahidi wa mazingira kabisa huu wamemuua mwenzao
Unajua inafikirisha sana iyo kitu
 
[emoji1787] nimecheka lakini umenifikirisha! Tambara la dek ni lain na siku zote limechakaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…