wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Hamza hakutakaga longolongo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamza hakuchelewesha akajilipuaHamza hakutakaga longolongo.
Tambala la kudekia lina nguvu gani ya kumbeba mtu mzima akajinyonga atleast wangesema ametumia suruali inaleta senseMimi nilikaa MAHABUSU pale madale.ndani Kuna choo mnawekewa na maji .
Pia tambala lipo kwa ajili ya kufutia maji
Uenda hiyo MAHABUSU Ina choo Cha ndani.
Ila Mimi ninachojua polisi kafa.
Kesi ya kina zombe ilikuwa hivi hivi aliyepiga risasi alitoroka na askari mmojawapo aliyekuwa shahidi muhimu nae akifariki.yetu macho na masikio.Askari mmoja Kati ya wale 7 waliokuwa wakituhumiwa kufanya mauaji ya mfanyabiashara kijana ajinyonga
--
Afisa wa Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara, Mrakibu Msaidizi wa Polisi, Greyson Mahembe ambaye ni miongoni mwa maafisa saba wa jeshi hilo waliofunguliwa mashtaka ya mauaji ya mfanyabiashara amejinyonga kwa tambala la kudekia akiwa mahabusu ya kituo cha polisi wilaya ya Mtwara.
Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara liliwakamata na kuwafikisha mahakamani Maafisa wa Polisi saba kwa tuhuma za mauaji ya Mussa Hamisi Hamisi (25) mkazi wa Kijiji cha Ruponda wilayani Nachingwea Mkoani Lindi aliyekuwa akiwadai askari hao zaidi ya Sh milioni 33.7.
Kulingana na taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara, ACP Marck Njera ilisema mauaji hayo yalifanyika Januari 5, 2022 na mwili wa marehemu ulitupwa kitongoji cha Majengo kijiji cha Hiari Wilayani Mtwara.
Habari Leo
Kuhusu mauaji ya mfanyabiashara, soma Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7 (Januari 25, 2022)
View attachment 2095972
Katika ndugu wa Grayson Mahembe lazima wapaze sauti nao.. haki yao ipatikane.Tambala la kudekia lina nguvu gani ya kumbeba mtu mzima akajinyonga atleast wangesema ametumia suruali inaleta sense
Tambala la kudekia lina nguvu gani ya kumbeba mtu mzima akajinyonga atleast wangesema ametumia suruali inaleta sense
Tayari wamemuua wenzake...mbaya zaidi kazikwa fasta na ripoti ya daktari juu ya kifo chake wameiedit polisi wenzake!Mmh!! kuna walakini
Hiyo selo walimtenga peke yake Ili adeki?😎Tambala za deki zinaweza kuwemo sello za wao police Hadi simu wanaruhusiwa kutumia
Ulikuwa peke yako au mlikuwa wengiMimi nilikaa MAHABUSU pale madale.ndani Kuna choo mnawekewa na maji .
Pia tambala lipo kwa ajili ya kufutia maji
Uenda hiyo MAHABUSU Ina choo Cha ndani.
Ila Mimi ninachojua polisi kafa.
Ulikuwa peke yako au mlikuwa wengi
Mfumo tu wa kipolisi dunia ipo sana hiyoHaswa
Kulikuwa na ceiling bodi au hakunaKama 30 hivi
Ni wengi