Mtwara: Askari Polisi mmoja kati watuhumiwa wa mauaji ya mfanyabiashara alikutwa mahabusu akiwa amejinyonga tarehe 22 Jan 2022

Alijining'inizia wapi ? Je alipanda vipi hadi kufunga kamba au wenzie walimsaidia kuning'nia kwenye mabega yao.
Hapa anatakuwa mpelelezi geneus.
Je ndugu zske na marehemu polisi wanaweza kufingua jalada dhidi ya polisi wenzie 6.
 
Ukishakua expendable kinachofata nikua eliminated mkuu
 
Mambo ya kuuana na kutekana Tanzania yaliasisiwa awamu ya Tano chini ya Mwendazake...hizi ndizo gharama zake.

Mke anaua mume
Mume anaua mke
Mume anakodi mtu kuua mpz wake
Mtoto anaua baba kisa urithi
Ndugu wanamuua bibi yao kizee kisa macho mekundu - mchawi
House girl anaua mtoto wa bosi
Kijana anaua girl friend wake
mchumba wa kike anamuua jamaa kisa kaachwa
Askari anaua raia
Askari anamuua askari mwenzake
Raia anaua askari
Raia anamuua raia mwenzake

Yaani sasa hivi ni mwendo wa kuliana timing tu...ukibugi tu umeingia cha kile dadadeq

Ni balaa tupu.
 
Ulimboka, Mvungi, MWangosi.
Ilikuwa awamu ya tano kumbe!?
Kichwa panzi..
 
Usipotoshe mada hata mtoto mdogo anajua kwamba mauaji na utekaji ni awamu wa tano chini ya Mwendazake.
Nimekuuliza Mvungi, Ulimboka na Mwangosi ilikuwa awamu ipi!?
Achilia mbali mauaji yaliyochochewa na mashehe wa uamsho.
Kichwa panzi period!!!!
 
Kwann usiunganishwe??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…