mosses15
JF-Expert Member
- Dec 27, 2018
- 992
- 2,266
Kivipi mkuu.Kesi imekwisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi mkuu.Kesi imekwisha
Napata picha ni nguo kuukuu ambayo napita picha haina uwezo wa kumbeba mtu mzima tena askari ikamnyonga
Ukishakua expendable kinachofata nikua eliminated mkuuHivi tambaza la deki kweli tambaa la deki hebu fikiria tena tambaa la nini la deki
Sasa ukirudi kwenye kesi ya Zombe na wenzake kuna askari mmoja naye alijinyonga hivyo hivyo
Kuna kitu hapo kuna kitu huenda huyo jamaa ndio anajua siri zote
Bila ya kuwekwa tume huru ya uchunguzi kama ile ya Zombe kuna mtu ataangushiwa Zigo la dhambi hapo
Ulimboka, Mvungi, MWangosi.Mambo ya kuuana na kutekana Tanzania yaliasisiwa awamu ya Tano chini ya Mwendazake...hizi ndizo gharama zake.
Mke anaua mume
Mume anaua mke
Mume anakodi mtu kuua mpz wake
Mtoto anaua baba kisa urithi
House girl anaua mtoto wa bosi
Kijana anaua girl friend wake
mchumba wa kike anamuua jamaa kisa kaachwa
Askari anaua raia
Raia anaua askari
Ni balaa tupu.
Usipotoshe mada hata mtoto mdogo anajua kwamba mauaji na utekaji ni awamu wa tano chini ya Mwendazake.Ulimboka, Mvungi, MWangosi.
Ilikuwa awamu ya tano kumbe!?
Kichwa panzi..
Nimekuuliza Mvungi, Ulimboka na Mwangosi ilikuwa awamu ipi!?Usipotoshe mada hata mtoto mdogo anajua kwamba mauaji na utekaji ni awamu wa tano chini ya Mwendazake.
Awamu ya tano yalitia fora tena yalifananaNimekuuliza Mvungi, Ulimboka na Mwangosi ilikuwa awamu ipi!?
Achilia mbali mauaji yaliyochochewa na mashehe wa uamsho.
Kichwa panzi period!!!!
Kwann usiunganishwe??View attachment 2096340
Leo zimetoka taarifa za mmoja kati polisi waliotuhumiwa kuua mfanyabiashara,kujiua lockup. Taarifa zinaeleza mahabusu huyu alijinyonga kwa kutumia dekio.
Napingana na hizi taarifa. Kwa uelewa wangu na mazingira nayoyajua mahabusu ni ngumu sana mtu kujinyonga. Kwanza hakuna uwezekano wa uwepo wa kitu cha kujinyongea. Pili hata kama mahabusu atatumia nguo zake bado uwepo wa mahabusu wengine kunaondoka uwezekano huo.
Natilia mashaka ripoti ya polisi. Kabla hatujasema kujinyonga kwa mchongo tunawataka polisi watoke tena watueleze kwa kina mtuhumiwa huyu amejinyongaje nyongaje.Tofauti na hapo tutaamini kuna syndicate.
Mods msiunge uzi
Enzi za kikwete unajua ni mashehe wangapi walikamatwa!?Awamu ya tano yalitia fora tena yalifanana
Awamu ya 5 ndio imeleta roho za mauaji hadi yanayoendelea sasaEnzi za kikwete unajua ni mashehe wangapi walikamatwa!?
Huwa siongei vitu vya kufikirika..Awamu ya 5 ndio imeleta roho za mauaji hadi yanayoendelea sasa