Mtwara: Jinsi Askari Polisi akiwemo Mkuu wa Kituo na Upelelezi walivyoshiriki Mauaji ya Mfanyabiashara wa Madini

KIKOKOTO KITAWANYOOSHA WALIOBAKI
 
magafu ni mtenda haki kweli...?
 
Maendeleo Vp Ya Kesi
Kesi itandelea Jumatatu tarh 20, aliyekuwa mkuu wa upelelezi, kwa sasa ni kamanada wa Ilala anatoa ushahidi.
Mi naona huyu Mgonja ambaye ndiye aliyekua mkuu wa upelelezi alijichanganya. Inaonekana alianza kumhoji Greyson, G baada ya kukiri mauwaji na kuwapeleka walipotupa mwili akaamrisha awekwe rumànde pale pale Mitengo, kituo kile kile. Bora angemweka kituo kingine.
Kwa sababu mpaka muda huo Kalanje na wenzie hawajakamatwa bado. Unadhani we ukiona mwenzako ananyolewa unafanyaje?
If and only if Greyson angewekwa mahabusu kituo kingine huenda leo angekuwa hai na angeunganishwa na washtakiwa wengine.

Ila polisi dah.....wanamuuwa mtu kisa pesa kidogo tu.
 
magafu ni mtenda haki kweli...?
Ha ha haaa, hili swali hata mimi huwa najiuliza... Ila kwa kuwa huwa anashinda kihalali tunaweza kusema ni mtenda haki.

Kuna kauli moja ambayo ni maarufu sana inasema; kwenye vita na kwenye mapenzi kila silaha inayotumika ni sahihi.

Labda tuseme, hizi ndizo kesi anazoziweza zaidi.

Ova
 
Unadhani alijichanganya, nadhani hakuamua kujichanganya kwa bahati mbaya.

Ova
 
Kijana alipata mamilion aisee akajua ndo ametoka kimaishaa kumbe ndo mwisho wa Uhai wakeee...maisha sometimes hayapo fair kabisaa ila polisi wana tamaa mamaee yanii sio watu kabisaaa mimi bi mkubwa alikataa katu katu dogo kuwa polisi.
Nasikia kuna dada wa benk ndiye aliyechoresha
 
Hatari sana. kengemaji, Kalanje alikuwa Mtu wa aina gani mlipokuwa mnafanya kazi naye?
sidhani kama atakujibu sijawahi kuona askari akimponda mwenzie awa watu wamenyweshwa sumu mbaya sana. all in all wapo waadurifu akiweno baba yangu.

ambae zaidi ya kumiliki baiskeri na pikipiki ya jeshi hana cha maana. kijumba chake kina karibia kudondoka muda wowote,🤣🤣🤣😭😭😭

ukilinganisha na watoto wa juzi namba J...wana magari na nyumba za ufahari.

nahisi kengemajikwetu ulikuwa namba E au F. vile vile wewe jamaa una kauadirifu sana ndio maana uliweza kuachana na jeshi la majambazi.​
 
Kijana alipata mamilion aisee akajua ndo ametoka kimaishaa kumbe ndo mwisho wa Uhai wakeee...maisha sometimes hayapo fair kabisaa ila polisi wana tamaa mamaee yanii sio watu kabisaaa mimi bi mkubwa alikataa katu katu dogo kuwa polisi.
kumbe ndio mwanzo wa maisha yake mengine. kwakweli hata mimi sitaki kabisa kizazi changu kijishughurishe na kazi yoyote ya ulinzi kuanzia usalama. polisi, mgambo, auxilary, jeshi, uhamiaji, usu, na ndugu zao wowote walinzi...Mungu anisaidie kwakweli.​
 
Kwa vyovyote vile hayo maelezo Magafu atayakataa na kulazimisha yatolewe upya mahakamani, na atashinda kwenye ombi lake hilo la kuyakataa.

Alifanya hivyo kwenye kesi kama hii ya akina Zombe juu ya ushahidi wa Rashid Lema (marehemu).

Ova
 
Wadepo huwa hawatupani. Hii ni kwa majeshi yote. Kwa namna wanavyoishi wakiwa depo, wanakuwa ni zaidi ya familia.

Ova
sasa unadhani ukisikia depo mate wako kaua...hapo utafanya kila liwalo ku eliminate the threats...

mtu ni mtuhumiwa namba moja leo umuweke lock-up ile ile wanayo fanyia kazi....? hizi ni akili au matope Greyson alikuwa kikwazo wakamueliminate😭😭😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…