Mtwara: Jinsi Askari Polisi akiwemo Mkuu wa Kituo na Upelelezi walivyoshiriki Mauaji ya Mfanyabiashara wa Madini

Ndii ile Mtuhumiwa kapelekwa Oysterbay mkienda mnaambiwa hayupo hapa. Baada ya siku tatu mnaambiwa yuko O'bay
 
Washtakiwa katika kesi hiyo ya jinai namba 15 ya mwaka 2023 ni pamoja na aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya ya Mtwara, Gilbert Sostenes Kalanje na Mkuu wa Kituo cha Polisi Mtwara, Charles Onyango.
Haya majina yanayoanza na Onyango au Odunga ni watu wabaya sana.

Yule DC aliyekuwa anaitwa Odunga alimwambia Wenje atamuua na kumpoteza......niliogopa sana
 
Eti Tanzania ni kisiwa cha amani!
Amani yupi huyo? maana akina amani ni wengi.
 
Tayari nini, na Mimi nimekaa nje badala kumzuia Kalanje asimwue kijana asiye na hatia kwa kumziba pumzi.
Hapo sindano ilisha chomwa nje ya maadili ya Udaktari.
 
Kwa hali hii namshauri Rais wa nchi hii akae na wataalamu huru wa masuala ya Sheria/Katiba pamoja na wataalamu huru wa masuala ya Ulinzi na Usalama ili wamshauri namna nzuri zaidi ya kulivunja Jeshi la Polisi na TISS,
Ni ngumu sana na haitawezekana

Hawa ni Kuku na Yai kwa CCM.

Ukivunja yao ujue hakuna kuku, na ukichinja kuku ujue yai hupati.
 
Yeah nakumbuka PM alienda vinginevyo bussness as usual wanasingizia " Tumeua Jambazi Sugu lilijaribu kutoroka"
 
Imagine jamaa alikufa cha kikatili sana,mikono imefungwa kamba kwa nyuma halafu anazibwa na tambala asipumue,alishindwa hata namna ya kujitetea
 
Sio rpc sidoyeka huyo kwasababu huyo pimbi ndio michezo yake hiyo
 
Hiyo familia pia inatakiwa watumie mbinu za kimedani nje ya mahakama kuroga koo zao hao wangese wanaojiita wauaji polisi.
Yaani nimesoma hiyo habari yaani nimesikitika sana aisee yaani watu wanatafuta chumba kwa ajili ya kumuua mtu harafu daktari anaambiwa angalia kama kafa au laa na daktari anathibitisha kuwa kafa daaah Nchi hii ina watu wakatili sana sijapata kuona sio wa kukaa na binadamu hao wanyama..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…