Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7

Yaani hawa mbwa bila hofu ya Mungu unawaroga wote tena wafe vile vifo vya kukiri walichofanya kabla ya kukata roho!
Shenzi kabisa wanaudhi sana
 

Kuliwa naniliu tena? Hiyo siyo poa kiongozi!
Hata wao huwa hawafanyi poa..
 
alafu mwanainchi mda huu wame tweet ni million 70 sasa sijui tukamate lipi
 
Ishu tangu tarehe tano ni kwa vipi RPC anakosekana kuwa ndani? Jee OCD Yuki wapi? Kiufupi hao wote ni wahusika wanatakiwa kuwa ndani mahabusu na kesi yao iendeshwe mapema na haraka wanyongwe ili kuleta nidhamu kwa jeshi la polisi.
RCO nae sijui kachukuliwa hatua gani hadi sasa?!
 
Nachopata shida kulikuwa na utaratibu gana maana hichi kijiji kipo Nachingwea katika barabara inayoelekea Liwale na ni Mkoa wa Lindi hawa Polisi kutoka Mtwara ilikuwaje wakahusika?
Nilikuwa mtwara toka ijumaa ndio stori imezagaa mjini , kwa kweli hawa polisi wamefanya tendo la kikatili sana akiongozwa na mkuu wa kituo

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Dhambi kubwa sana
 
Lupondo ni kijiji kilichopo Nachingwea ambayo ipo mkoa wa Lindi ilikuwaaje akapelekwa Mtwara bado kuna maswali mengi ya kujiuliza.
 
Polisi nao wameanza kuunda magenge ya uhalifu.
Kila mbuzi atakula urefu wa kamba yake
Yapo kitambo hayo mkuu,halafu tamaa ya polisi wachache ndio inaharibu sifa nzuri ya jeshi zima,chanzo cha yote vikosi vya madefender vile,wale wazee wa kuning'ia wana good time babu kubwa,na 90% ya chanzo cha mapato yao ni raia,uwe mhalifu au usiwe mhalifu,ukiingia kwenye 18 zao utajua kama hujui
 
HII KESI NI RPC NA WENGINE WOTE WASIMAMISHWE ALAFU ndio kesi ianze kuchunguzwa wakati hawapo makazini lasivyo itakuwa kupoteza ushahidi kwa kwenda mbele.. Dekio Linatoka wapi Lock up.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…