Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7

Kuna watu hapo wameharibu taaluma na maisha yao kwa ujumla kutokana na tamaa za kijinga kabisa na saa hizi wanajuta (Though it's too late).
 
unawachukia ila wenzako wanaishi vizuri kisa wao, Usimchukie mtu ambaye huwezi hata muumba chukia tabia zake mbaya tu
sasa wewe nisimchukie mtu aliyetaka kunimaliza kisa ziwezi kumuumba ?
hao wanaoishi vizuri kisa wao labda hawaishi Tanzania hii nayoijua mimi
 
Kidogo kwako, wenzako wasiojua kutafuta pesa wao wameona ni nyingi sana kumaliza shida zao! Kumbe Sasa ndiyo wameongeza tatizo zaidi!! Tuombe Mungu tu Waendesha mashitaka wasiharibu kesi, maana wao na Wapelelezi kazi zao zinategemeana sana!!
Sasa 33.7 kwa watu saba si ni sawa na kama 4.5
Hivi kweli udhamirie kuuwa kwa 4.5?
 
Sasa 33.7 kwa watu saba si ni sawa na kama 4.5
Hivi kweli udhamirie kuuwa kwa 4.5?
Ndg Chang shen kuna watu wanauwa hata kwa laki tano tu, ambayo hiyo kwako wwe ukiitaka kwa haraka naamini ukipiga simu moja au mbili kwa connection yako Mzigo huo unaingia kwa simu hapo hapo! Wakati wenzako akili hizo hawana,wao wanawaza matumizi ya nguvu tu kujipatia fedha!!
 
Huwezi fanya mageuzi while bila wao kufanya namna cc haiwez kuwa madarakani... Same wanavyochinja na kuuwa kwenye uchaguz ndio wao wanaiga. Yani msingi wa haki ni katiba mpya tu. + Uchaguz wa uhuru na haki. End
 
Haaa bro kama nakuona vile.
Nimetembea nchi hii sijawahi kuona trafiki wana njaa kali kama mkoa wa pwani hasa wale wa maeneo ya kibiti,mkuranga na rufiji pale muhoro.

Nihatari sana . Askari wamejipanga wanalazimisha rushwa tena wanataka kuanzia elfu kumi.

Najua dawa yao ipo jikoni.
 
Polisi wa hovyo sana ndio maana hawana ndevu
Ila wapo Police wachache sana wanaojitambua,sema tatizo lao moja tu,uwozo wa wenzao wanaujua,sema huwa Mara nyingi wanausemea ukweli pembeni,lakini kuoneshana vidole wanaogopana,maana kesho hawajui Nani atakua na cheo,na watalindani vp Kama wa kichomana kisa kesi za raia!?
 
Huyo alieuliwa huenda ni mtoto, ndugu au rafiki wa polisi mwenye cheo kizito sana kama rpc au ocd ndio maana jambo limekuwa zito hivi, na hao waliomuua hawachomoki hapo. ila ingekua ni kivingine ingepita tu fasta
Muuliwaji anatokea kwa mh.namba 3,.na kwa jins ilivyo yeye ndo atakua yuko nyuma ya hili baada ya kutonywa na wananchi wake,bila hivo
Lingepita hili kama mengine.
 
Vibaka wenzio hao.Guhutufu!
 
Hii imenifanya nifikiri zaidi na nikajikuta napata maswali:-
1. Huko mahabusu alikua pekeyake..??
2. Wakati anataka kujinyonga kwanini mahabusu wengine hawakutoa taarifa..??

What if wamemnyonga ili kupoteza ushahidi??
Ni kweli hai-click kabisa.
Huyo wamemuuwa wenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…