Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
[emoji23][emoji23]Bora hata polisi kuliko lile kabila linaloua mama mzazi kisa shamba la mbege.
Polisi wa Tanzania wapo juu ya sheria hta wakiua hawafungwi
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Polisi wa Tanzania wapo juu ya sheria hta wakiua hawafungwi
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Wewe ni polisi? Au baba yako ni polisi acheni dhuluma na ujambazi.With all my respect kwako mkuu, chanzo chako ni gazeti hili la chooni!!!!gazeti hili nililiona ni uchafu lilipokoma kuandika to press watawala waseme ukweli mwandishi wao Azory Gwanda yupo wapi,na hadi leo gazeti hili limeshamsahau pamoja na familia yake!
ohooo lipo wapi gazeti la Mfanyakazi, motomoto, Rai (sio uchafu huu wa sasa)Family mirror?
Kuua na kutesa Kwa jinsi wanavyojisikia na kuwapora marehemu pamoja na kuwabakikia makosa raia na kutoa ushahidi mahakamani Kwa kesi walizochunguza na kushtaki wenyewe! Sifa nyingine ni kupora kura! Maa mbali nao!Hivi hili jeshi lina sifa nzuri?
Igp yuko busy na cdm,policeccm hawana kitu bila ccmJeshi halina utu, Igp yupo tu wala hachukui hatua.
Lazima wawe hivyo..sehemu kubwa ya maisha yao..ni uonevu..na dhuluma...Mungu gani atakufanikisha iwapo unawadhulumu watu wake!!Niliagizwa kazi moja kwa POLICE....
Aisee hao wengi ni watu waliofeli maisha na kukata tamaa kabisaaaa..... YAANI ASKARI POLISI HAWANA MATUMAINI NA NI WAOGA WA MAISHA....
wao kuua maadam wana silaha na kusingizia uhalifu na jambo la kawaida.
NI WAOGA KUFANYA KAZI NA BIASHARA.... Wao ni kutapeli, kudhulumu na RUSHWA... Ni jeshi la waliofeli.
Alafu kamera ya itv inammulika ajibu tuhuma anakimbia kanishangaza. Angesema hata mfuateni rpcKwa kashfa hizi IGP Sirro kwa hiari yake ajiuzuru na kama hatafanya hivyo alazimishwe kuondoka!! Mahita ilibidi aondoke baada ya ujambazi aliohusishwa nao wa wakina Zombe kushamiri sana nchini; sasa ni zamu ya Sirro kuachia ngazi.
Unamuuliza Lisu?Hivi hili jeshi lina sifa nzuri?