#COVID19 Mtwara: Marufuku kumpeleka mtoto Kliniki kama hujachanja

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
Baadhi ya zahanati na vituo vya afya vyenye huduma ya mama na mtoto mkoani Mtwara, zimeweka zuio kwa wazazi wasio chanja kuwapeleka watoto wao clinic, ili mtoto apatiwe huduma za clinic mzazi analazimika kuchanja au aondoke na mtoto wake.

My take: siku moja atang'olewa meno mtu.
 
Kwani wameshatangaza kwamba chanjo ni ya lazima na huyo mtoto ambaye mama yake hajachanjwa yeye anaingiaje kwenye huo mgogoro.

Kwa miaka ya hivi karibuni watanzania wamekuwa wapumbavu sana wasiofahamu majukumu yao na wanafikiri kujipendekeza ni sehemu ya matakwa ya kazi. Bure kabisa.
 
Baadhi ya zahanati na vituo vya afya vyenye huduma ya mama na mtoto mkoani Mtwara, zimeweka zuio kwa wazazi wasio chanja kuwapeleka watoto wao clinic, ili mtoto apatiwe huduma za clinic mzazi analazimika kuchanja au aondoke na mtoto wake.

My take: siku moja atang'olewa meno mtu.
Ni marufuku isiyo na maana yoyote maana ina lengo la kuangamiza mama na mtoto wakati katika situation kama hiyo kulitakiwa kufanyike kile kinachoitwa 'lesser evil' na marufuku hii katika kumkutadha iliyotolewa siyo 'lesser evil' bali ni 'greater evil'.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Baadhi ya zahanati na vituo vya afya vyenye huduma ya mama na mtoto mkoani Mtwara, zimeweka zuio kwa wazazi wasio chanja kuwapeleka watoto wao clinic, ili mtoto apatiwe huduma za clinic mzazi analazimika kuchanja au aondoke na mtoto wake.

My take: siku moja atang'olewa meno mtu.
Kuchanja ni muhimu sana lkn asihukumiwe mtoto kwa uzembe wa mzazi.
 
Hangaya kajificha nyuma ya hao watendaji, kwenye TV anasema hiari,chini kwa chini hakikisheni mnawadunga kwa namuna yeyote.

Hangaya la chanjo litaondoka nawe,hili ndo anguko lako,machozi ya wajawazito wanaolazimishwa kuchomwa sumu kisa hawawezi pimwa mpaka chanjo yatakugharimu.
Sasa unaweza kujiona wewe uko juu ya kila kitu, kumbuka yupo aliyeweka hapo.
 
Baadhi ya zahanati na vituo vya afya vyenye huduma ya mama na mtoto mkoani Mtwara, zimeweka zuio kwa wazazi wasio chanja kuwapeleka watoto wao clinic, ili mtoto apatiwe huduma za clinic mzazi analazimika kuchanja au aondoke na mtoto wake.

My take: siku moja atang'olewa meno mtu.
Wanagomea chanjo wakati wanawapeleka watoto kuchanja chanjo ya mzungu!!!? Maajabu haya! Wafukuzeni tu
 
Wanachomwa sumu gani?
 
Wanagomea chanjo wakati wanawapeleka watoto kuchanja chanjo ya mzungu!!!? Maajabu haya! Wafukuzeni tu
ulikuwa unanufahamu kipindi NDUI imeshika hatamu
ilipokuja CHANJO ya NDUI si ilileta mabadiliko
watu hawakuugua tena na mamia kwa mamia tulichoma chanjo bira shuruti

Zilipokuja ARV si zilipunguza vifo vya ukimwi kwa 98% kwa walioanza kutumia mapema
mbna mpk leo watu tunabugia ARV kwanini ?
sabubu zimeleta matumaini mapya

Sasa why hizo chanjo za Corona hali ipoje

kwanini mtu usikatae kitu ambacho kinakutia shaka na AFYA yako
kwann ulazimishe mtu apate CHANJO kwa UGONJWA ambao yeye binafsi hauna athari yoyote katika mwili wake
kwann mtu umlazimishe chanjo ambayo haina faida yoyote katika mwili wake zaidi ya hasara na kupoteza muda na pesa
 
Baadhi ya zahanati na vituo vya afya vyenye huduma ya mama na mtoto mkoani Mtwara, zimeweka zuio kwa wazazi wasio chanja kuwapeleka watoto wao clinic, ili mtoto apatiwe huduma za clinic mzazi analazimika kuchanja au aondoke na mtoto wake.

My take: siku moja atang'olewa meno mtu.

Kuchanja nini??, au kuchanja chale za kimakonde??!!🤣

Fafanua mkuu.
 
Back
Top Bottom