Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimezungumza tu kuweka mkazomkuu watu kama wewe mnatakiwa mchome chanjo
Ni chanjo ipi wanayoitaka? Au ulikuwa unamaanisha chanjo ipi?Baadhi ya zahanati na vituo vya afya vyenye huduma ya mama na mtoto mkoani Mtwara, zimeweka zuio kwa wazazi wasio chanja kuwapeleka watoto wao clinic, ili mtoto apatiwe huduma za clinic mzazi analazimika kuchanja au aondoke na mtoto wake.
My take: siku moja atang'olewa meno mtu.
Na naona lengo lao ni kututisha. Ndivyo hii chanjo inavyolazimishwa.Ni marufuku isiyo na maana yoyote maana ina lengo la kuangamiza mama na mtoto wakati katika situation kama hiyo kulitakiwa kufanyike kile kinachoitwa 'lesser evil' na marufuku hii katika kumkutadha iliyotolewa siyo 'lesser evil' bali ni 'greater evil'.
Kuchanja nini mkuu? Chanjo zipo nyingiBaadhi ya zahanati na vituo vya afya vyenye huduma ya mama na mtoto mkoani Mtwara, zimeweka zuio kwa wazazi wasio chanja kuwapeleka watoto wao clinic, ili mtoto apatiwe huduma za clinic mzazi analazimika kuchanja au aondoke na mtoto wake.
My take: siku moja atang'olewa meno mtu.
Adhabu anapewa mtoto kosa katenda mama! Tanzania zimejaa akili ndogo ndogo ndiyo maana miaka 60 baada ya uhuru Dar inategemea maji ya kukinga mferejini.Baadhi ya zahanati na vituo vya afya vyenye huduma ya mama na mtoto mkoani Mtwara, zimeweka zuio kwa wazazi wasio chanja kuwapeleka watoto wao clinic, ili mtoto apatiwe huduma za clinic mzazi analazimika kuchanja au aondoke na mtoto wake.
My take: siku moja atang'olewa meno mtu.
Kwa Mujibu wa Mh Rais chanjo ni hiyari sio lazima, unawezaje kumnyima mtoto haki kisa ya matibabu kisa mzazi wake hajachanja?Baadhi ya zahanati na vituo vya afya vyenye huduma ya mama na mtoto mkoani Mtwara, zimeweka zuio kwa wazazi wasio chanja kuwapeleka watoto wao clinic, ili mtoto apatiwe huduma za clinic mzazi analazimika kuchanja au aondoke na mtoto wake.
My take: siku moja atang'olewa meno mtu.
aisee ukweli mchungu huuHangaya kajificha nyuma ya hao watendaji, kwenye TV anasema hiari,chini kwa chini hakikisheni mnawadunga kwa namuna yeyote.
Hangaya la chanjo litaondoka nawe,hili ndo anguko lako,machozi ya wajawazito wanaolazimishwa kuchomwa sumu kisa hawawezi pimwa mpaka chanjo yatakugharimu.
Sasa unaweza kujiona wewe uko juu ya kila kitu, kumbuka yupo aliyeweka hapo.
😂😂😂😂😂My take: siku moja atang'olewa meno mtu.
heko, endelea kupima, unachokitafuta utakipata siku mojanimezungumza tu kuweka mkazo
me sina UKIMWI KIJANA pole sanaView attachment 2052386
wewe hapo ndio umenifanya mpk nikapime kuniambia watu km sisi ndio inatufaa chanjoheko, endelea kupima, unachokitafuta utakipata siku moja
Nani kawapa hayo maelekezo? Kwamba saizi kila mtu ni kambale anaweza ropoka chochote?Baadhi ya zahanati na vituo vya afya vyenye huduma ya mama na mtoto mkoani Mtwara, zimeweka zuio kwa wazazi wasio chanja kuwapeleka watoto wao clinic, ili mtoto apatiwe huduma za clinic mzazi analazimika kuchanja au aondoke na mtoto wake.
My take: siku moja atang'olewa meno mtu.
mkuu nitumie ma mimi vipimo inaonekana vipo ndaniwewe hapo ndio umenifanya mpk nikapime kuniambia watu km sisi ndio inatufaa chanjo
sasa kukukomesha ndio nikapima ili uone sina ukimwi
poamkuu nitumie ma mimi vipimo inaonekana vipo ndani
Taja, mtu au mamlaka iliyosema hvyo au chanzo Cha taarifa yako ili kupata ithibati,.. vinginevyo hzo rumas ziko nyingi mno, na hazina uthibitisho, Kwan chanjo Ni hiari, Sasa kumchanja mtt na chanjo vinaingilianaje??Baadhi ya zahanati na vituo vya afya vyenye huduma ya mama na mtoto mkoani Mtwara, zimeweka zuio kwa wazazi wasio chanja kuwapeleka watoto wao clinic, ili mtoto apatiwe huduma za clinic mzazi analazimika kuchanja au aondoke na mtoto wake.
My take: siku moja atang'olewa meno mtu.