#COVID19 Mtwara: Marufuku kumpeleka mtoto Kliniki kama hujachanja

#COVID19 Mtwara: Marufuku kumpeleka mtoto Kliniki kama hujachanja

ulikuwa unanufahamu kipindi NDUI imeshika hatamu
ilipokuja CHANJO ya NDUI si ilileta mabadiliko
watu hawakuugua tena na mamia kwa mamia tulichoma chanjo bira shuruti

Zilipokuja ARV si zilipunguza vifo vya ukimwi kwa 98% kwa walioanza kutumia mapema
mbna mpk leo watu tunabugia ARV kwanini ?
sabubu zimeleta matumaini mapya

Sasa why hizo chanjo za Corona hali ipoje

kwanini mtu usikatae kitu ambacho kinakutia shaka na AFYA yako
kwann ulazimishe mtu apate CHANJO kwa UGONJWA ambao yeye binafsi hauna athari yoyote katika mwili wake
kwann mtu umlazimishe chanjo ambayo haina faida yoyote katika mwili wake zaidi ya hasara na kupoteza muda na pesa
Mzee kama unabugia ARVs we choma chanjo fasta baba!
 
Chanjo hizi ni changamoto kidogo, utayari wa watu kuchoma sio mkubwa sana, ila sio sawa kumlazimisha mtu kuchoma, ni kutoa elimu na kujaribu kudadavua sababu zinazomfanya mtu asichome, mwisho mgonjwa mara nyingi huwa anakubali tu bila shida.

Watanzania tuchanje jamani
 
Baadhi ya zahanati na vituo vya afya vyenye huduma ya mama na mtoto mkoani Mtwara, zimeweka zuio kwa wazazi wasio chanja kuwapeleka watoto wao clinic, ili mtoto apatiwe huduma za clinic mzazi analazimika kuchanja au aondoke na mtoto wake.

My take: siku moja atang'olewa meno mtu.
Huyo muuguzi na bosi wake ni WAHUNI tunaoambiwa na pole pole!! Wahuni ni wahuni tu, kazi yao ni kujikomba tu!! Wakiendelea hivyo wasilaumu!!
 
Back
Top Bottom