#COVID19 Mtwara: Marufuku kumpeleka mtoto Kliniki kama hujachanja

Ni chanjo ipi wanayoitaka? Au ulikuwa unamaanisha chanjo ipi?
 
Na naona lengo lao ni kututisha. Ndivyo hii chanjo inavyolazimishwa.
 
Totally unacceptable in all forms. Even WHO has in the past issued statments against forceful vaccination as far as Covid-19 is concerned.
 
Kuchanja nini mkuu? Chanjo zipo nyingi
 
Adhabu anapewa mtoto kosa katenda mama! Tanzania zimejaa akili ndogo ndogo ndiyo maana miaka 60 baada ya uhuru Dar inategemea maji ya kukinga mferejini.
 
Kwa Mujibu wa Mh Rais chanjo ni hiyari sio lazima, unawezaje kumnyima mtoto haki kisa ya matibabu kisa mzazi wake hajachanja?
 
aisee ukweli mchungu huu
 
Nani kawapa hayo maelekezo? Kwamba saizi kila mtu ni kambale anaweza ropoka chochote?
 
Taja, mtu au mamlaka iliyosema hvyo au chanzo Cha taarifa yako ili kupata ithibati,.. vinginevyo hzo rumas ziko nyingi mno, na hazina uthibitisho, Kwan chanjo Ni hiari, Sasa kumchanja mtt na chanjo vinaingilianaje??
 
Mzungu akupe pesa za Covid 19 wewe ujenge sijui madalasa,vituo vya afya na bado ugomee chanjo yake... kuchanja ni swala la muda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…