#COVID19 Mtwara: Marufuku kumpeleka mtoto Kliniki kama hujachanja

Mzee kama unabugia ARVs we choma chanjo fasta baba!
 
Chanjo hizi ni changamoto kidogo, utayari wa watu kuchoma sio mkubwa sana, ila sio sawa kumlazimisha mtu kuchoma, ni kutoa elimu na kujaribu kudadavua sababu zinazomfanya mtu asichome, mwisho mgonjwa mara nyingi huwa anakubali tu bila shida.

Watanzania tuchanje jamani
 
Huyo muuguzi na bosi wake ni WAHUNI tunaoambiwa na pole pole!! Wahuni ni wahuni tu, kazi yao ni kujikomba tu!! Wakiendelea hivyo wasilaumu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…