Hapo itakuwa mambo ya visasi vya mapenzi, wafungwa au ushirikina tu.Jamani kwani tunakoelekea ni wapi? Sasa mtoto mdogo ana kosa lipi?π«
Jamani ndio wamnyonge mtotoπ’Hapo itakuwa mambo ya mapenzi au ushirikina tu.
Siku tatu nyuma wameuwawa watoto wengine watatu.Walikuwa aidha wanatoka au kwenda madrasa.
Whatβs the hell is going on here? Mbona kukicha matukio hayaishi! Duhh..πSiku tatu nyuma wameuwawa watoto wengine watatu.Walikuwa aidha wanatoka au kwenda madrasa.
Ngoja waziri wa mapolisi agawe hela ili watu watoe taarifa nini kinasababisha hayo.Whatβs the hell is going on? Mbona kukicha matukio hayaishi! Duhh..π
Hiki ndo kilichokosekana πSerikali nzima imeoza
R I.P Moreen.Mwanafunzi wa darasa la tatu mwenye umri wa kati ya miaka nane hadi kumi, mkazi wa Mtaa wa Lilungu katika Manispaa ya Mtwara Mikindani, amefariki dunia baada ya kunyongwa na watu wasiojulikana.
View attachment 3613653
Tukio hilo limetokea jioni ya Juni 21, 2026, ambapo kwa mujibu wa mashuhuda, mtoto huyo aliyefahamika kwa jina la Moreen ambaye ni mtoto wa askari magereza, alikuwa akicheza na wenzake wanne kabla ya watu wasiojulikana kujitokeza, kumchukua na kutoweka naye kusikojulikana.
View attachment 3613654
Mashuhuda hao pia wameeleza wasiwasi wao kuhusu hali ya usalama katika eneo hilo, wakidai kuwepo kwa mazingira yanayochochea uhalifu, huku wakitoa wito kwa mamlaka husika kuchukua hatua za haraka kudhibiti hali hiyo.
View attachment 3613651
Kwa upande wake, Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mtwara Ligula amethibitisha kupokea mwili wa marehemu Moreen kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi (postmortem) ili kubaini chanzo halisi cha kifo.
View attachment 3613652
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara limeanza uchunguzi wa kina kubaini mazingira ya tukio hilo pamoja na kuwakamata waliohusika. Aidha, limewataka wananchi kushirikiana na vyombo vya usalama kwa kutoa taarifa sahihi na za siri zitakazosaidia kufanikisha uchunguzi.
RAI YANGU NI HII:
Kwanza kabsa sijawahi kuunga mkono masuala ya violence kwa namna yoyote, haswa kwenye kulipiza kisasi. Askari magereza anaweza kuwa na bifu na raia lakini pia wao kama wao. Kama ni uchunguzi anzeni huko huko kwa Maaskari Magereza kisha muelekee kwa wananchi.
View attachment 3613650
Lakini la pili ni kwamba lazma tukubaliane kuwa hali ya usalama imekuwa ni kwenye kiwango cha ovyo sana sio kwa watu wazma na wala sio kwa watoto. Na ukizingatia imani ya watu wengi ilivyodhaifu kwa majeshi yetu. Huyu mtoto sio wa kwanza kupoteza maisha, tusisahau kuna watoto kibao waliopoteza maisha October mwaka jana, na hakuna uchunguzi uliofanyika.
View attachment 3613654
Pole kwa familia pamoja na ndugu na jamaa kwa msiba huu ila twendeni mbele turudi nyuma, kuna mengi ya kufanya ili amani na usalama urejee kama zamani.
Mungu atusaidie, aisaidie hii familia!Mwanafunzi wa darasa la tatu mwenye umri wa kati ya miaka nane hadi kumi, mkazi wa Mtaa wa Lilungu katika Manispaa ya Mtwara Mikindani, amefariki dunia baada ya kunyongwa na watu wasiojulikana.
View attachment 3613653
Tukio hilo limetokea jioni ya Juni 21, 2026, ambapo kwa mujibu wa mashuhuda, mtoto huyo aliyefahamika kwa jina la Moreen ambaye ni mtoto wa askari magereza, alikuwa akicheza na wenzake wanne kabla ya watu wasiojulikana kujitokeza, kumchukua na kutoweka naye kusikojulikana.
View attachment 3613654
Mashuhuda hao pia wameeleza wasiwasi wao kuhusu hali ya usalama katika eneo hilo, wakidai kuwepo kwa mazingira yanayochochea uhalifu, huku wakitoa wito kwa mamlaka husika kuchukua hatua za haraka kudhibiti hali hiyo.
View attachment 3613651
Kwa upande wake, Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mtwara Ligula amethibitisha kupokea mwili wa marehemu Moreen kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi (postmortem) ili kubaini chanzo halisi cha kifo.
View attachment 3613652
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara limeanza uchunguzi wa kina kubaini mazingira ya tukio hilo pamoja na kuwakamata waliohusika. Aidha, limewataka wananchi kushirikiana na vyombo vya usalama kwa kutoa taarifa sahihi na za siri zitakazosaidia kufanikisha uchunguzi.
RAI YANGU NI HII:
Kwanza kabsa sijawahi kuunga mkono masuala ya violence kwa namna yoyote, haswa kwenye kulipiza kisasi. Askari magereza anaweza kuwa na bifu na raia lakini pia wao kama wao. Kama ni uchunguzi anzeni huko huko kwa Maaskari Magereza kisha muelekee kwa wananchi.
View attachment 3613650
Lakini la pili ni kwamba lazma tukubaliane kuwa hali ya usalama imekuwa ni kwenye kiwango cha ovyo sana sio kwa watu wazma na wala sio kwa watoto. Na ukizingatia imani ya watu wengi ilivyodhaifu kwa majeshi yetu. Huyu mtoto sio wa kwanza kupoteza maisha, tusisahau kuna watoto kibao waliopoteza maisha October mwaka jana, na hakuna uchunguzi uliofanyika.
View attachment 3613654
Pole kwa familia pamoja na ndugu na jamaa kwa msiba huu ila twendeni mbele turudi nyuma, kuna mengi ya kufanya ili amani na usalama urejee kama zamani.
Hii nayo habari mpya!Ngoja waziri wa mapolisi agawe hela ili watu watoe taarifa nini kinasababisha hayo.
NB:Kwamba idara za kiuchunguzi za serikali hazina uwezo wa kuchunguza hadi yeye katenga milioni 100 ili wenye taarifa wampe.Laana sumakha!
Aamiin! ππΎMungu atusaidie, aisaidie hii familia!