Mtwara: Mwanafunzi afariki dunia baada ya kunyongwa na watu wasiojulikana

Mtwara: Mwanafunzi afariki dunia baada ya kunyongwa na watu wasiojulikana

Huyo Mungu alikuwa wapi kuzuia mtoto asiuwawe?

Kama Mungu huyo kashindwa kumlinda mtoto asiuwawe, Mtoto ameshauwawa, Huyo Mungu asaidie nini sasa?
Siyo kazi yake na kama ni kazi yake inawezekana hajaombwa kufanya hivyo.
Hujaona mzazi anaweka Fensi, mbwa, cctv na walinzi binafsi akiamini wanalinda ila Mungu wa Israel anasema "Waliondao mji pasi na Mimi kuulinda wakesha bure"
 
Ndugu unaongea kama umekatwa kichwa, unakufuru ujue?! 😳

Kwahiyo we huamini kama yupo?!😀😀😀
Kwa nini huyo Mungu anahitaji kuaminiwa?

Huyo Mungu akiaminiwa anafaidika nini?

Asipoaminiwa anapungukiwa nini?

Huyo Mungu aliwaomba ninyi mumuamini?

Au ni nyie tu mnaamini vitu mlivyopumbazwa na dini zenu kuviamini bila uthibitisho.
 
Hapo itakuwa mambo ya visasi vya mapenzi, wafungwa au ushirikina tu.
Naunga mkono hoja hasa hapo kwa wafungwa, inawezekana huyo mtu alikuwa mfungwa na askari alimtesa gerezani akajua familia ya askari na kulipiza kisasi.

Maana kwa taarifa kwenye TV watoto walikuwa watano, akamwita mmoja wale watoto wakawa wanauliza mimi, mimk anawaambie siyo nyie ni huyo. Inamaana alikuwa anajua kbs yupi anamlenga.

Ila hii itamlamba kuuwa kwa kisasi ni mbaya sana maskini Malaika ameenda siyo muda wake.
 
Hujui km waziri katenga 100m kwa ajili ya unoko tuu ukiwa nao unaupeleka unachukua chako.
Vijana wanateseka mitaani hakuna ajira, watu hawana mitaji! Umasikini unatafuna watu kuliko kawaida! Hospitalini huduma mbovu mbovu, barabara, yani hovyohovyo nchi nzima, halafu kuna pesa inatengwa kwaajili ya umbea? Nimesikitika sana!😓
 
Vijana wanateseka mitaani hakuna ajira, watu hawana mitaji! Umasikini unatafuna watu kuliko kawaida! Hospitalini huduma mbovu mbovu, barabara, yani hovyohovyo nchi nzima, halafu kuna pesa inatengwa kwaajili ya umbea? Nimesikitika sana!😓
Ndiyo maana hiyo habari nimeiita unoko, kuna matatizo kibao weee unaweka pesa kwa ukuda.

Ni ujinga tuu tunaendekeza hiyo 100m ingeweza kufanya kazi nyingine kibao kwa ajili ya jamii.
 
Israel wana Mungu wao?
Ni Mungu gani huyo?
Lini alisema kua yeye ni Mungu wa Israel?

Kwahiyo na nyie wamatumbi mnamuabudu huyo Mungu ambaye sio wenu? au na nyie mna Mungu wenu pia?

Kutoka 24:10 wakamwona Mungu wa Israeli; chini ya miguu yake palikuwa na kama sakafu iliyofanyizwa kwa yakuti samawi, kama zile mbingu zenyewe kwa usafi wake.​

 
Back
Top Bottom