Mtwara: Mwanafunzi afariki dunia baada ya kunyongwa na watu wasiojulikana

Kutoka 24:10 wakamwona Mungu wa Israeli; chini ya miguu yake palikuwa na kama sakafu iliyofanyizwa kwa yakuti samawi, kama zile mbingu zenyewe kwa usafi wake.​

Kina nani hao wakamuona huyo Mungu wa Israel?
Mbona hujibu maswali yangu?

Israel is protected by advanced aerial technology ila wewe mpaka leo una amini eti Israel inalindwa na Mungu wa Israel!!

Jibu maswali yangu,huyo Mungu wa Israel ni nani?
 
waarabu nao wana mungu wao anaitwa allah na kwake ukienda kuna vitu "utatunukiwa" tofauti ni "Mungu wa Israel"
Jaribu kua unajifunza vitu kwanza,

Allah ni lugha ya kiarabu tu ikimaanisha Mungu,
Ni sawa na kusema Chungwa na Orange,au useme Yesu na Jesus ni vitu tofauti,au Mungu na God ni vitu tofauti,hizo ni lugha tu.
 
Jaribu kua unajifunza vitu kwanza,

Allah ni lugha ya kiarabu tu ikimaanisha Mungu,
Ni sawa na kusema Chungwa na Orange,au useme Yesu na Jesus ni vitu tofauti,au Mungu na God ni vitu tofauti,hizo ni lugha tu.
Wewe ndio Ujifunza , nakupa elimu bure utoe tongotongo la Waarabu:1

Mungu wa Israel:
1. Hana mwanzo wala Mwisho , Mmoja ana nafsi tatu yani baba, mwana na Roho Mtakatifu.
2. Ukitaka kumuomba kitu unatumia jina la Yesu Kristu ambaye alikuja kama mwanadamu, akasulubiwa akafa na akapaa mbinguni kwa Baba yake.
3. Mungu hana jinsia, wanadamu ndio wana jinsia.
4. Mbingunihakuna jinsia kwa wote, hakuna kuoa wala kuolewa .
5. Matendo yako na wokovu ndio utakupeleka mbinguni na baada ya kifo ni hukumu hakuna kuombewa sala za marehemu wala misa, huo ni upagani!
6. Wanatumia biblia ambayo kwanza iliandikwa na manabii miaka. 200 kabla ya Yesu kuja duniani, yaani Isaya na akina Ezekiel na baadae baada ya Yesu kupaa mbinguni na roho mtakatifu kushuka siku ya pentekoste.
7. Ndoa ya mke mmoja tu.

"miungu wengine"
1. mungu wao ni alah.
2. mungu wao anataka ndoa ya wanawake wengi.
3. mungu wao anataka kulipiza kisasi , unaua huku unamtaja,
4. mungu wao anauhusu kusalia maiti na kuamini inaenda mbingu yake kwa kumwambia ampunguzi adhabu ya kaburi.
5. wanatumia kitabu kilichishushwa na aliyekishusha.
6. Dini yao inalazimisha kusilimu, na ukitaa unaweza kukata kichwa

HITIMISHO:
Hatujiu dini ya kweli ni ipi, il wokovu alileta Yesu ndio kweli kwakuwa dini ni mpango wa mwanadamu kumfikia Mungu na wokovu ni mpango wa Mungu. kuwafikia wandamu.
 
MUNGU WETU ATUSAIDIE NA ATUEPUSHE NA HAWA WATEKAJI.
 
Utakua na tatizo la kiakili kichwani wewe sio bure,

Hili gazeti ndio umepewa na mchungaji wako ili uje kulimwaga humu sio?
Toka usingizini.
 
Hakuna namna wakafanya shirki kama Wameru wanavyofanyaga "kupasua chungu"ukoo mzika wa wauaji unapuputika?
Tatizo la kupasua chungu unatakiwa nawe uwe msafi ila kama nawe una makandokando kinaondoka na wewe! πŸ˜ƒ Mizimu haina masihara kabsa
 
Hali ya usalama wa nchi yetu ni shwari, na hakuna kitisho cha uvunjifu wa amani kokote nchini, ispokua propaganda za kuzuia taharuki tu.
Mkuu unaishi Tanzania? Upo serious na kauli hii!? πŸ€”
 
Mkuu unaishi Tanzania? Upo serious na kauli hii!? πŸ€”
Gentleman,
sinaga mzaha katika kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu.

uaga wako ndio umaskini wako, nchi yetu ni salama katika kila kona.

Ni muhimu sana waTanzania kuendelea kuchapa kazi kwa bidii na kizalendo kama ilivyo sasa, na kupuuza uzushi na porojo za wavivu na wafuata mkumbo waliopoteza uelekeo wa maisha kwa uvivu wao.πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…