Baada ya mateso ya muda mrefu kwa wananchi wa Mtwara na Mnivita kutokana na changamoto ya ubovu wa barabara, serikali sikivu ya Dkt. Samia Suluhu Hassani imetatua changamoto hiyo kwa kamilisha ujenzi wa barabara yenye urefu wa kilomita 50km kwa kiwango cha lami.
Lengo la serikali ni kurahisisha usafiri kati ya maeneo hayo ili kuchochea shughuli za kiuchumi na kukuza maendeleo ya mwananchi mmoja mmoja. #mamayukokazini #tunasongambele #kaziindelee