Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,139
- 2,488
Tunaamini litazingatiwaTunataka huduma ifanane na majengo hayo.
Kabisa isiwe sehemu ya usanii kama pale TBSTunataka huduma ifanane na majengo hayo.
Rubbish, it is their obligation! It is our money,Dah ila huyu Magufuli huyu!
Basi tu asee.
Wanadai Kuna trilioni zile hazikuonekana. Jamaa alitaka kazi na si porojoDah ila huyu Magufuli huyu!
Basi tu asee.
Kwani awamu zingine hazikuwa hela zenu kwani nduguRubbish, it is their obligation! It is our money,
At the expense ya kuwanyima watu haki zao, it is robbery! At the expense of Human rights violations!Kwani awamu zingine hazikuwa hela zenu kwani ndugu
Chadema mna over 20 years mnapewa kodi ya mwananchi as ruzuku + michango ya wabungeRubbish, it is their obligation! It is our money,
Haki gani unataka huku hospital hizo zimejengwa ,mashule,miundombinu.At the expense ya kuwanyima watu haki zao, it is robbery! At the expense of Human rights violations!
hamna shaka umeshakiri una uelewa finyu unataka .Haki gani unataka huku hospital hizo zimejengwa ,mashule,miundombinu.
Mkuu haki za binadamu kwa nchi zilizoendelea hawana time Mana wameshapiga hatua.
Fuatilia walipotokea Kama hawakuua watu kinyama ndugu.
Unajua Russian Revolution ya 1917 akiwepo Stalin Kama Lida wao.
Hao uk wameua wangapi na kuwafanya watumwa pia.
Unaijua history ya USA.
China unaijua Mao ze dong Aliua wangapi.
Libya ya Gadafi pia. Sasa cheki Libya walivyo na haki za binadamu cheki kinachotokea.
Hata wewe kwako ukitaka maendeleo unakuwa siriasi anayekukwamisha unaniacha nyuma kwanza.
Mie huwa nashangaa Afrika na umasikini wote tunataka tuishi mfumo wa USA.
Haya bana labda mie Sina uelewa mkubwa Kama wewe
Pamoja mzee wa demokrasia haki za binadamu.hamna shaka umeshakiri una uelewa finyu unataka .
HatariLipeni tozo za miamala, Serikali inaenda kufuta kabisa tatizo la ukosefu wa hospital nchini by 2025
Hospital ya Kanda ya Mbeya 👇
View attachment 1865126