Hapa chini ni Muonekano wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini inayojengwa eneo la Mitengo, Mtwara ambayo ujenzi wake umefikia 98% kwa gharama ya TSH Bilioni 15.8 ambapo itawekwa jiwe la msingi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango Julai 26, 2021.
Hospitali inatarajiwa kuhudumia zaidi wananchi wa mikoa ya kanda ya kusini ikiwemo Mtwara, Lindi, Ruvuma na hata nchi Jirani ya Msumbiji.
Hospitali hii imejengwa eneo la ufukweni kabisa wa bahari ya Hindi na kuleta mwonekano mzuri na hali ya hewa inayovutia.
HONGERA SANA KWA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KWA KUTULETEA MRADI HUU.
View attachment 1864783View attachment 1864786View attachment 1864787View attachment 1864788View attachment 1864789