MTWARA: Ujenzi wa hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini wafikia asilimia 98

MTWARA: Ujenzi wa hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini wafikia asilimia 98

Magufuli alikuwa na nia njema na Nchi hii kwa bahati mbaya baadhi ya watu walishindwa kumuelewa
 
Mzee kuwa na busara, ata kama ni hela yetu kama hakuna usimamizi mzuri unazani hizo hospitali zingejengwa?
Busara muulize baba yako. Pili, They have an obligation to do this. Kama hawatafanya ndiyo maana tunataka katiba mpya tuweze kuwawajibisha. Hatuwezi kuomba chetu sisi wenye akili timamu
 
Hizo tenda zote ni 2020- 2021 sasa hapo utasemaje Maza kaanza kama siyo ufinyu wa akili
Huna akili wala ulijualo,unaangalia miaka ya kwenye contract number huangalii bids zimewekwa open lini.

Wewe ndio huna akili mimi Nina access na Taneps wewe huna ,kama vipi nenda kwenye maeneo hayo saizi kaone kama utakuta hata mita 5 ya lami.

Nimekwambia hivi hizo tenda zimetangazwa mwaka huu na mwisho wa mwaka ujenzi unaanza,acha kukurupuka kama mkojo
 
Mungu ampe Raha ya Milele
Mlivyokuwepo viazi huwa mna hemka utadhani mtu kafanya kitu spesho Sana,miaka 6 hakuna alichoanza kimeisha yaani kaacha mapagala sasa hapo ndio kafanya nini cha maana?

Kwa maoni yangu Maza anaenda kufuta tatizo la sehemu za kutolea huduma, barabara,na atamalizia mapagala na magofu yote aliyoacha Magu na shule kama hamtamkwamisha maana hamtaki kulipa kodi mnamlazimisha ashike rungu
 
Mzee kuwa na busara, ata kama ni hela yetu kama hakuna usimamizi mzuri unazani hizo hospitali zingejengwa?
Hakika bila usimamizi mzuri wa rasilimali, isingejengwa. Kusimamia mradi inahitaji utayari
 
Back
Top Bottom