Mtwara: Ujenzi wa Soko la Kisasa - Chuno kwa kutumia Fedha za Ndani

Limeshajengwa au ni future tense!!
 
Nyumbxxxxx wa CDM watakuambia wananchi hawahitaji soko bora wala miundombinu bora ila wanataka haki ya kuropoka chochote, hicho ndio kipaumbele cha CDM.
 
Kuna wabaya wakiona haya mafanikio wanaweweseka na kuandaa mwanakikundi mwenzao atengeneze kiki ya kusema anatishiwa na simbilisi wasiojulikana ili apate kwenda kukaa kwa mabeberu kukwepa kushuhudia kazi nzurii inayofanywa na awamu hii
 
Mradi wa fedha za 'WORLD BANK' huu.
Kwa Mtwara fedha hizi kwenye ujenzi wa stendi ya daladala-Mikindani.
Ujenzi wa sehemu za kupumzikia na ujenzi wa barabara maeneo ya Shangani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…