Mtwara: Vitafunwa vipya vyenye umbo la duara vyapewa jina la "VIBASHITE"

Mtwara: Vitafunwa vipya vyenye umbo la duara vyapewa jina la "VIBASHITE"

Jioni hii nimecheka sana baada ya kukutana na mjasiriamali mmoja anayeuza vidubwasha flani vinavyotengenezwa kwa ngano ambavyo vinaumbo la duara, kilicho nichekesha zaidi ni jina alilovibatiza vidude hivyo maana anaviita VI-BASHITE, sikuwa na mpango wa kuvinunua lakini jina likanivutia nikavinunua vitano, nivitam balaa.
Kesho asubuhi nikikutana naye ntavipiga picha mvione.

Kweli wabongo wako makini kuzitumia fursa. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hivi ukivila unaweza kustuka ahsubuhi umeamkia koromije
 
Back
Top Bottom