Muache kabla hajakuacha, hata kama bado unampenda

Mayor of kingstown

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
2,898
Reaction score
4,156
Sita wakumbusha tena ukiwa kwenye mahusiano na unaona ume jaribu kila njia kuresolve matatizo yenu lakini bado unaona upendo umeegemea upande mmoja au mmoja wenu ni kama hayupo tayari kuruhusu suluhu ni kheri umuache kabla ajakuacha ita kusaidia sana .



Hili naandika nikiwa na experience nalo kwenye mahusiano kadhaa ya nilio waacha baada ya kuona hawaeleweki ,Tena niliwaacha kikatiri kimya kimya .wengine waka amka asubuhi wame pigwa block kimya kimya kila kona na wote waliamini mimi ni zoba juu yao yani nimekufa nimeoza kumbe ni walizani, Kuna wakati ni lazima uwe na maamuzi magumu 🫡

Nime wakumbusha hili mnao lia lia mapenzi ukitaka uumie zaidi subiri akuache ila ukitaka umtese na yeye hata kama alikua na mpango wa kukuacha ni umuwahi kumuacha yeye

Na log out
 
"Ujana una mengi na mengine na mi nimefanya
Siwezi danganya nishamaliza
Kila niliempaga moyo autunze
Basi aliugawanya ona nilihanya ikaniumiza" Harmonize
 
"Ujana una mengi na mengine na mi nimefanya
Siwezi danganya nishamaliza
Kila niliempaga moyo autunze
Basi aliugawanya ona nilihanya ikaniumiza" Harmonize
Aisee asante kwa kunisanulia lyrics nilikuwa sielewagi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…