Nusratt
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 1,712
- 4,259
Nikiwa kama kada mtiifu na muaminifu kwa JMT, nasema acheni kumsimanga na kumshushia lawama Mh. Rais kuwa anatumia madaraka vibaya.
Vipi wewe kwa upande wako, endapo ungepata nafasi ya kuwa kiongozi mwenye cheo cha juu namna hii usingethubutu kuweka akiba ya baadae kwa ajili ya watoto wako? Jibu ni Hapana, ni lazima ungeweka akiba. Basi sasa muacheni Mh. Rais kwa kumpa lawama.
Nchi haiongozwi kwa lawama, je mlikaa chini nae na kujadiliana au mnampa lawama kwa kuwa yeye ni mwanamke?
Kwa umri wa mama nadhani anaweka akiba ya watoto na wajukuu na si kwa matumizi yake.
Mzazi mwenye uchungu na baadae ya watoto wake ni lazima aweke akiba, na ndicho anachofanya Mh. Rais Samia.
Nampongeza sana mama kwani anaupiga mwingi.
CCM oyeeeee!!
Mama Mitano tena.
Mama nakupa kura yangu hapo October 2025