Muafrika mwenzetu huyu anatueleza haya

Muafrika mwenzetu huyu anatueleza haya

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,840
Reaction score
8,202
FB_IMG_1781011994246.jpg
 
Nyerere kasababishia nchi yetu ufukara mkubwa.
Alitumia fedha na rasilimali za taifa kusaidia ukombozi wa nchi zilizopo kusini mwa Africa.

Vita na Uganda ilitusababishia umasikini na uhaba wa bidhaa.

Sera za ujamaa zilikuwa hazina manufaa kwa Watanzania

Mwenge una gharimu mabilioni kila mwaka na hauna faida
 
Hizo ni factor ndogo sana kwenye huu umaskini, kikubwa hapo labda mwenge nao si kisingizio kikubwa. Issue ni mifumo na sera chafu za kisiaa zisizowawajibisha watawala dharim.
 
China alitawaliwa na Japan msisahau hilo,leo hii China iko wapi?

US alitawaliwa na UK,angalia leo hii US iko wapi?

Ethiopia haikuwahi kufanywa Koloni,leo hii iko wapi?

Hii ni mifano michache tu,sidhani kama ukoloni ndio sababu,

Toka mkoloni kaondoka leo ni miaka mingapi? Hii sababu ya ukoloni tutaitumia mpaka lini?
 
China alitawaliwa na Japan msisahau hilo,leo hii China iko wapi?

US alitawaliwa na UK,angalia leo hii US iko wapi?

Ethiopia haikuwahi kufanywa Koloni,leo hii iko wapi?

Hii ni mifano michache tu,sidhani kama ukoloni ndio sababu,toka mkoloni kaondoka leo ni miaka mingapi? Hii sababu ya ukoloni tutaitumia mpaka lini?
Bila kusahau Liberia.Nchi za bara la Afrika zina matatizo ya kipumbavu sana ndo maana Donald trump alisema ni "sehemu za kutolea haja kubwa"
 
Nyerere kasababishia nchi yetu ufukara mkubwa.
Alitumia fedha na rasilimali za taifa kusaidia ukombozi wa nchi zilizopo kusini mwa Africa.

Vita na Uganda ilitusababishia umasikini na uhaba wa bidhaa.

Sera za ujamaa zilikuwa hazina manufaa kwa Watanzania

Mwenge una gharimu mabilioni kila mwaka na hauna faida
nyerere kafa miaka 26 nyuma huko bado unamlaumu mpaka leo
 
Kasema ukweli.hatakama wakoloni walichangia lakini kwa muda walioondoka tungekuwa kwa sasa tumerekebisha hizo kasoro zote.Wewe angalia ru sa100 kUza bandari zetu kwa miaka 99,pia kauza uranium kwa miaka 33pamoja na madini mengine.Mbaya zaid wao waliyatoa madini kwenye mambo ya muungano baada ya kugundua mafuta zanzibar kwa lengo la kunufaika peke yako.
 
Ongezea na hii:
India ilitawaliwa Kwa miaka 190, USA 169, Africa 50-80, Brazil 320
 
Back
Top Bottom