Muajemi (Iran) karibuni atakuwa ndo kiongozi wa nchi za kiIslamu Uarabuni

Natty Bongoman

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2008
Posts
648
Reaction score
384
Habari wanaJamii,

Muajemi anashinda vita, kabomoa makambi mengi ya mmarekani - sawa na kumfukuza Uarabuni, na hakuna nchi ya kiarabu yaweza pambana nae.

Pia itikadi zake za kutaka waarabu kujitawala bila mikono ya wamagharibi inapendwa na wengi, japo hawasemi ivo - matendo yao yaongea wazi, hawampi mmagharibi na kiongozi wake myahudi feki ushirikiano wowote wa kimsingi.

Wenzangu mwaliona hilo laja, ama maoni yenu niaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…