Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wote hao huku unahitaji mtu tatu imekaaje hiyo!!!!!Linamo
Carba
Sakayo
Shunie
Emmyta
Numbisa
Neybright
Mbitiyanza
Joanal baby
Nawategemea vigeregere!
SawaWengine watawakirishwa[emoji23]
poa comradeAndaa suti tu
Ingekuwa bora zaidi kama shemu wetu yupo hapa JF umuhost ili tupate mawili matatu kwanza.Mimi muosha rungu aka DJ sepetu nataraji kuachana Na ukapera sugu.
Mwezi January Nina mpango Wa kufunga pingu za maisha kwa kumuoa binti Mrembo Wa kitutsi.
Najaribu kuona njia bora ya kupata
Wawakilishi watatu toka jf kunisindikiza mwezi Wa 12 ukweni
Rwanda kulipa mahari Na kukamilisha mila.
Nimeona niwataarifu wana jf wenzangu,naomba maombi yenu.
Mungu aweke baraka.
Hii safu iko makini sana.Linamo
Carba
Sakayo
Shunie
Emmyta
Numbisa
Neybright
Mbitiyanza
Joanal baby
Nawategemea vigeregere!
Na bendera ya JF usiisahauNdio Bonny sitawaangusha nimebeba bendera ya taifa
Wale watatu wanamsindikiza kwenda kutoa mahari.Sasa wote hao huku unahitaji mtu tatu imekaaje hiyo!!!!!
Ili na wengine tujaribu japo kutupia mistari kule Prime MinisterMumusasambue!
Nilitaka niende ila nimeghairi coz hujantajaLinamo
Carba
Sakayo
Shunie
Emmyta
Numbisa
Neybright
Mbitiyanza
Joanal baby
Nawategemea vigeregere!
OoohWale watatu wanamsindikiza kwenda kutoa mahari.
Hiyo timu ni siku ya kubeba kombe
Ni tabia ya ntu ntu!Watutsi they are beautfull but they are not selfish !
Ndabakunda chane batutsi lakini hawajui kukataa nilitakaga kumwoa Rechael from there ila nilivyosikia vile nikachunguza na kugundua kuwa kipindi nipo bongo kule kigali kuna Msomali flani hivi anadonoa.