Mualiko Wa harusi!

Mualiko Wa harusi!

Mimi muosha rungu aka DJ sepetu nataraji kuachana Na ukapera sugu.

Mwezi January Nina mpango Wa kufunga pingu za maisha kwa kumuoa binti Mrembo Wa kitutsi.

Najaribu kuona njia bora ya kupata
Wawakilishi watatu toka jf kunisindikiza mwezi Wa 12 ukweni
Rwanda kulipa mahari Na kukamilisha mila.

Nimeona niwataarifu wana jf wenzangu,naomba maombi yenu.
Mungu aweke baraka.
Ingekuwa bora zaidi kama shemu wetu yupo hapa JF umuhost ili tupate mawili matatu kwanza.

Any way Kila la kheri
 
Watutsi they are beautfull but they are not selfish !
Ndabakunda chane batutsi lakini hawajui kukataa nilitakaga kumwoa Rechael from there ila nilivyosikia vile nikachunguza na kugundua kuwa kipindi nipo bongo kule kigali kuna Msomali flani hivi anadonoa.
 
Ni tabia ya ntu ntu!
 
Back
Top Bottom